Wenzangu mnawezaje kuacha?

Nimejifunza kuwa upendo wa mwanamke hukolea jinsi siku zinavyosogea
 
Huyu mpenz wangu mpya mbali na kuvaa ni mzuri sana kuanzia rangi yake sioni kitu cha kunizuia nisimuoe wakati mwenyewe kanikubali hata sikutegemea siwezi poteza hii bahati wakuu huyu mtoto ni chombo haswaa
 
Nimejifunza kuwa upendo wa mwanamke hukolea jinsi siku zinavyosogea
Kweli mkuu mwanzoni emmy alianza akiwa wala hanipend sana ghafla tu kaanza kunipenda kiajabu ningejua nitampata hyyu ningemuacha ule mwaka wa kwanza wala asingelaumu kama sasa hivi anavyonipa tabuu
 
Siku atakayomkuta anachilwa ndani ya nyumba na kitanda wanacholalia pamoja atajifunza kitu kuhusu wanawake [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi wakuu mbona mnacoment vibaya hivi hata nyinyi najua wengi wenu mnadate na mtu wa 10+ hao wengne mbn mliwaacha hamkuoa wa kwanza tu kumpata maishani?
 
O

Ila kufanya uasherati inakuruhusu? Hiyo dini yako.
Mkuu hakuna dini inaruhusu uasherati ila zipo dini zinaruhusu kuoa mke zaidi yw mmoja ila yangu mimi hairuhusu hilo
 
Duuuh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…