Wenzangu mnawezaje kuacha?

Kwahiyo ulikuwa unafanyia rehearsal kwake halafu event kwa mwingine
 
Hilo linatutokea Wanaume wengi tu, tena kuna wengine wanakuwa wamewapromise mabinti kadhaa lakini hakikisha utawaomba msamaha waridhie ili nawewe milango yako ya baraka ifunguke
 
Kwani huyo Emmy ulimkuta na usichana wake?

Kama hakua bikra basi ulikua unamega mke wa mtu.

Kama umemwambia ukweli, basi inatosha. Mwisho wa siku atazoea kisha ata give up na maisha yataendelea.

Kikubwa wewe punguza mawasiliano naye
 
daah inakera kweli
 
[emoji16][emoji16][emoji16] aah dada taratibu, huyo dada mpya ana kosa gani hadi umuite mpuuzi?
 
Mmh we nae...kwamba mtu usipompenda hausimami kabisa? Hii sio kweli ..ingekuwa hivi watu wakienda kununua wasingekuwa wanasimamisha
 
Watu Kama nyie ndio mnaongeza pollution duniani!Sasa hapo ushaongeza mwanamke asiyejali Tena neno mapenzi,maana hataamini Tena mwanaume,umeongeza nunda...ila machozi ya Emmy yatakufuata tu nyuma siku zote
 
Hilo linatutokea Wanaume wengi tu, tena kuna wengine wanakuwa wamewapromise mabinti kadhaa lakini hakikisha utawaomba msamaha waridhie ili nawewe milango yako ya baraka ifunguke
Nashukuru mkuu kwa ushauri mzurii
 
Kwani huyo Emmy ulimkuta na usichana wake?

Kama hakua bikra basi ulikua unamega mke wa mtu.

Kama umemwambia ukweli, basi inatosha. Mwisho wa siku atazoea kisha ata give up na maisha yataendelea.

Kikubwa wewe punguza mawasiliano naye
Asante sana mkuu sikumkuta bikra emmy
 
Mmh we nae...kwamba mtu usipompenda hausimami kabisa? Hii sio kweli ..ingekuwa hivi watu wakienda kununua wasingekuwa wanasimamisha
Na mm nimemshangaa jamaa anauliza kuhusu kusimamisha et
 
[emoji16][emoji16][emoji16] aah dada taratibu, huyo dada mpya ana kosa gani hadi umuite mpuuzi?
Ndio nashangaa huyu dada wa watu ana muita mpuuzi wakati hana shida yoyote na wala hamjui emmy yeye ananipenda mimi tu na mimi nampenda sana
 
We waliokupenda umedumu nao milele 😂?
 
Circle mbaya sana hiii...mnakuta mnakimbizana uliyempenda hakupendi,na anayekupenda humpendi...that's truest
mapenz ya kibongo jau sana, unampenda mtu sana ila yeye wala hakuwazii kihivyo. Hata ukisema unamuacha anaona umemsaidia.🤣🤣🤣
 
Ndio maana huwa siwezi kuwa kwenye mahusiano na mtu ambae si mpendi... hakuna kitu kibaya kama kuumiza hisia za mtu.

Ukikaa vibaya utakuja kujuta sana... hakikisha anakusameh
Ubaya huyo utaemuangukia nae hakupendi katika usawa! Utajikuta unajitoa sana kuliko yeye
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…