The Dark Father
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,144
- 1,412
Asante mkuuReason:
She is your mother.
Over the years, she was never your mommy.
Solution:
You have no choice but to keep tryin as hard as you can. She is irreplaceable
Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Wachukue woteHawezi kukubali amuache mumewe aje kuishi na mimi
Tunaishi hivyo mi yanapotokea ya muhimu ya kuhusishana ndo tunafanya hivyo m mzee wangu sijakua naye na K ipindi nilichokua naye nilikuwa simwoni katika situation nzuri (ukatili)fulanHaha pole mkuu kwa hiyo unachukua hatua gani?
Shida yako ni ileile kama yangu...hujakulia kwakeTunaishi hivyo mi yanapotokea ya muhimu ya kuhusishana ndo tunafanya hivyo m mzee wangu sijakua naye na K ipindi nilichokua naye nilikuwa simwoni katika situation nzuri (ukatili)fulan
Sijawai kumzoea na ndo maana katika watoto wake mi niko tofauti sana na yeye hadi anasemaga ila ni makosa yakeShida yako ni ileile kama yangu...hujakulia kwake
Pole sana as longer as mtu hujamtukana au kumkosea adabu acha maisha yaendelee katika namna inayokupa furaha uzilazimishe kumfurahisha vile huweziPole mkuu mimi hata sijui baba ananichukuliaje
How?inauma sana pale unapokuwa na Mama alie hai halafu unashindwa kumpenda!!.....imenitokea mimi and it is eating me alive!!!