Wenyewe mpooooo?

Queen Kyusa

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
663
162
Habari zenu wana jamvi?
naomba kukaribia nipate pumziko la kifikra maaana huko nilipo toka ni majungu, fitna, unafki, uzandiki...... du na kila kitu!
Naamini hapa nitabwaga moyo, au nimekosea wapendwa??
Twende pamoja!!!!!
 
huko ulikotoka ni wapi kny hayo uliyoyataja???darhotwire nini?
 
Itakuwa umetoka FB wewe, haya pita huku!
Maana ya Id yako na Avatar yako plz...... if u dont mind!
 
Jamani karibu MMU KAMA wataka
kusafishwa na kupumzishwa ukitoka hapo
Ingia kwenye jokes ujiongezee maisha..
Mmmmhhhh siasa siasa siasa mmmhh..
Badaye.. karibu sana mgeni..
 
Back
Top Bottom