Wenyeji Wa Mwanza



Muziki mbaya, hakuna maua, vyakula vibaya? Una uhakika uko Mwanza au Sengerema?
Alkam Alkam utakua umepotea haupo Mwanza hapo ni Runzewe me nakushauri lala kesho wahi saa 11 asbh panda mabasi ya kwenda Mwanza


[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Swali zuri Me mwanaume wa Dar
Mkifukuzwa dar msikimbilie mikoa isiyofanya biashara zenu za dsm na kuleta dharau za kifalala. Shukru waliokujibu awali ni wasitaarabu hebu endelea kuletadharau zako uone dume
Jike wewe.
 
Kwa walio mwanza au wenyeji wa mwanzs wanisadie sehemu ambapo ntapata kazi yoyote ile ambayo haina uhitaji wa vigezo vya elimu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…