Wenyeji Wa Mwanza

Yaaa kwa mwanza mda huu sio kama dar mfano pale mitaa ya 55 kunakuwaga na machalii huwa wanazingua sometimes. Kama upo na usafiri (private) wa kukufikisha hadi sehemu husika ndo fresh ila daladala sijui utoke kituoni hadi sehemu husika kwa mguu sikushauri. Au boda ni fresh
Shukrani mkuu kuna changamoto zozote maana nina muamala hapa mfukoni.
 
Nenda Rocy botton utaenjoy
 
Mimi niko hapa na watu wanafurahi tu mbona
 
Mimi niko hapa na watu wanafurahi tu mbona

Kidogo sasa hv dj amechangamka anapiga ngoma zinaeleweka naskia na watu wanapiga kelele alafu mezani kwangu wamekuja wadada wanataka kufanya hbd patam hapa
 
shida uko hapo car wash nimepita hapo watu walikua wachache utafikiri ka house party nenda Cask Pub hapo hapo rock city,au vilr leo jumapili ita Taxify nenda Rock Bottom Ladies free leo j2
 
Si bure, upo majimoto mugumu, panda mororo investment hadi Tarime Kisa chukua batco hadi mwanza, jitahidi kuwahi ukichelewa watakugecha maana nahisi umevamia ritungu na rirandi, muda wa nsaro huu tata
 
Mkuu utakua labda umeshukia Misungwi na sio Nyegezi, Mwanza siku hizi ni kama Nairobee
 
nenda vitunguu au makoroboi....ila marufuku kupapasa....
Vitunguu na makoroboi mkuu kwan bado kuna mali kule ?, Mwanza kumejaa watoto wazuri kama wote kutoka chuo cha SAUT, CBE, TIA pia kuna wachumba wazuri kutoka katika mashule kama Bismarck, Isamilo International School, Loreto, Thaaqafa na Nganza girls pia club kama zoote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…