Alkam Alkam
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 603
- 512
Alkam Alkam utakua umepotea haupo Mwanza hapo ni Runzewe me nakushauri lala kesho wahi saa 11 asbh panda mabasi ya kwenda MwanzaNipo hapa tangu asubui nimetoka jioni hii kufurahisha nafsi nimekosa sehemu nipo hapa Rock City
Kuna Watu Wengi kiasi flani chake,
1/Mziki Mbaya
2/Vyakula Vyao pia vibaya
3/Hamna Hata Maua (Wadada Wazuri) wa kuangalia
Wenyeji Naombeni Muongozo wapi pazuri niende nikapumzishe akili kidogo kwa masaa mawili matatu.
[emoji1472]
Muziki mbaya, hakuna maua, vyakula vibaya? Una uhakika uko Mwanza au Sengerema?
Kwani we umetokea wap?tulinganishe na uko ulipotoka
Basi umeenda siku mbaya.Buda naona umesoma kwa nguvu nipo mwanza Rock City
NYEGE zi
Alkam Alkam utakua umepotea haupo Mwanza hapo ni Runzewe me nakushauri lala kesho wahi saa 11 asbh panda mabasi ya kwenda Mwanza
Nenda villa au club 55
Nipo mbali huku Kazuramimba[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] embu jitokeze uenda upo hapa
Direction Mkuu.
Direction Mkuu.
Mimi nipo jirani nawe hapa ila sio cask.. uko sehem gani mda huu
Humu ndani rock city kwenye Pub hii huku kwenye parking
Upo sehem gani? Anyway kwa club 55 ipo town uku mtaa wa uhuru kama kabla hujafika kwenye mzunguko wa kenyata rd na villa ni ni huku ccm kirumba. Take care