Wenyeji wa Mwanza msaada tafadhali...

Wenyeji wa Mwanza msaada tafadhali...

DV8, neema , sunrise, promise, msalala, horizon, cheers, bayachamo , porojo, kapama, balele may day, river view
 
Usikose kwenda kutembelea Nyamhongolo na Mahina aisee safi kweli kule. Pakulala kuna Hotel moja tamu sana gorofa mpyaukitoka roundabout ya Picha ya Samaki unaenda Kituo cha Kauma Kenyatta Rodi afu unapandisha kama unaenda Rwegasole.

Inaitwa Holmand Hotel
 
mnabania mwenzenu starehe,pale deluxe kwanza ni mjini,watu wanatembea mtaani hata saa 9.
sasa akalale capri point kijijini,saa mbili tu huoni mtu barabarani bana,maisha yenyewe haya mafupi,

Aje huku nyakato. Ndio kunakoongoza kwa lodge nyingi. Huko capri atakuwa mpweke.

Akiona noma asogee nyasaka Casanova au Angelo .pesa ikitaka kukata atalala. Masai ara au mtena b. Gebbys, Florida mitaa ya idara ya maji
 
Holmand Hotel kati kati ya mji pametulia, Ryan's bay hotel, hotel tilapia, hata victoria palace sio mbaya sema iko mbali na kuna kipindi walikua hawauzi pombe.
 
Nenda pale kampala lodge karibu na shokeni ni pazuri kweli,afu nenda katembelee ishokela mahela kule misasi
 
Victoria ilikuwa nzuri mwanzoni siku hizi shuka zao utafikiri za gest duu yani wana service nzuri ila shuka msabato kaniuzi
 
Lala kingdom ni barabarani na rahisi kwenda utakapo na chumba cha 80 kizuri.hizo tree tree zipo katikati mjni halafu za muda mrefu.kama unasomeka anuani nitafute nakukodishia gari yangu siku laki unazunguka jiji utakavyo
 
DV8, neema , sunrise, promise, msalala, horizon, cheers, bayachamo , porojo, kapama, balele may day, river view
Hahha hizi lodge za nundu na mecco utampoteza huyo mgeni... tena dv8 hapo ndo asisogee kabisa
 
Back
Top Bottom