Wenyeji wa Mwanza msaada tafadhali...

Wenyeji wa Mwanza msaada tafadhali...

JNC8

Member
Joined
Nov 1, 2013
Posts
16
Reaction score
1
Habarn wandugu mimi ni mkazi wa Arusha natazamia kuwa mwanza mwez wa nane kwa mapumziko ya wiki moja,
hii itakuwa mara yangu ya kwanza kufika mwanza, ningependa mnijuze hotel au lodge nzur za bei nafuu avg-50 to 80 Tsh per night, pia na sehem nzur za kutembelea.
Asanteni.
 
Nenda La Kairo Hotel,ni pazuri sana tena sana,bei sh 65 elfu per day.
 
Na sehemu nzuri ya kutembelea ni kisiwa cha saa 8.
 
shukran mkuu,
okk ipo kama km ngapi kutoka mwanza Airport
 
kufika mwanza bila kusain villa bado hutaonekana hujafiki na xku hz kuna jembe ni jembe
 
okky mkuu ipo umbali gan kutoka Airport

Haizidi km 10. In short, ipo jirani na uwanja wa CCM Kirumba. Ipo kusini magharibi mwa uwanja. Waweza tumia pia Google map kwa maelekezo zaidi
 
Shinyanga Guest House 7,000/= hapo Yale mambo yetu ni nusu DKK ushaopoa. Milango huwa haifungiki hivyo yakupasa muda wote uwe attention kama kundi la ISIS (muda wote unakamua).
 
Habarn wandugu mimi ni mkazi wa Arusha natazamia kuwa mwanza mwez wa nane kwa mapumziko ya wiki moja,
hii itakuwa mara yangu ya kwanza kufika mwanza, ningependa mnijuze hotel au lodge nzur za bei nafuu avg-50 to 80 Tsh per night, pia na sehem nzur za kutembelea.
Asanteni.

La Kairo pametulia. Otherwise uende Isamilo lodge au Kingdom Hotel. Deluxe sikushauri, hapana utulivu kabisaa
 
Unataka kuja kuchakachua kura angalia usijepigwa kiberiti, kwanini usije baada ya uchaguzi?
 
Victoria Palace Hotel maeneo ya Capri point jirani na Tilapia Hotel, Mayi Hotel mjini kati kabisa, na Ryan's Bay Hotel (nadhani kwa hiyo 80 unaweza kupata na ipo jirani na ziwa jirani na Tilapia hotel na Railway kama utatumia usafiri wa train unatembea tu kwa mguu)
 
Shinyanga Guest House 7,000/= hapo Yale mambo yetu ni nusu DKK ushaopoa. Milango huwa haifungiki hivyo yakupasa muda wote uwe attention kama kundi la ISIS (muda wote unakamua).

huyu shinyanga bado hajakarabati guest yake tu?,
ule mjengo wake mwingine wa karibu ghorofa 20 pale rufiji ulishaga isha?
 
La Kairo pametulia. Otherwise uende Isamilo lodge au Kingdom Hotel. Deluxe sikushauri, hapana utulivu kabisaa

mnabania mwenzenu starehe,pale deluxe kwanza ni mjini,watu wanatembea mtaani hata saa 9.
sasa akalale capri point kijijini,saa mbili tu huoni mtu barabarani bana,maisha yenyewe haya mafupi,
 
Usikose kwenda kutembelea Nyamhongolo na Mahina aisee safi kweli kule. Pakulala kuna Hotel moja tamu sana gorofa mpyaukitoka roundabout ya Picha ya Samaki unaenda Kituo cha Kauma Kenyatta Rodi afu unapandisha kama unaenda Rwegasole.
 
Kingdom Hotel. Then viwanja nenda Villa ukale samaki wa kuchoma na disco nenda Rock Bottom hapo Gold Crest.

Usiache kupiga picha sanamu la samaki kwenye 'kiplefti' cha wahaya.....!!

Pia tembelea Nyegezi km ni mtu wa totoz za chuo tena wako likizo wameishiwaje!! Kawasapoti njeree.

Kama kawaida kasaini ziwani. Kuna maeneo fresh ila majina yamenitoka. Unaeza kuanzia hoteli ya Malaika nadhani ina bichi poa.
 
Km vp ongeza dau kdg ulale Ryan's Bay ya hao jamaa wa Fortes. Hutajutia. Nadhani walikua na chumba cha 150k au pungufu kdg ukiwa mbongo. Breakfast yao saf sana.
 
Back
Top Bottom