Hahaaah mkuu unataka unizungukeIpo sana tu Mdogo wangu. Mpitie Shemeji uje nae.
Pametulia Sana Hapo.Habari zenu wakuu? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Leo nipo Moshi mjini hapa toka Dar es salaam.Hivyo naomba kama kuna mtu yupo karibu aje hapa Qwine Pub tupeane kampani. Qwine pub ipo opposite na filling Station ya PANONE.
Karibuni sana na ahsanteni sana.
umri wako ? ,maana tusijekuja afu tukute una umri sawa na baba zetuHabari zenu wakuu? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Leo nipo Moshi mjini hapa toka Dar es salaam.Hivyo naomba kama kuna mtu yupo karibu aje hapa Qwine Pub tupeane kampani. Qwine pub ipo opposite na filling Station ya PANONE.
Karibuni sana na ahsanteni sana.
[emoji106][emoji106][emoji106]Okay. Nimeagiza toka pale uhuru hostel wananiletea.
Jamaa Uliposema Aje Na ShemejiHaa nini? Njoo
Hahahahah. Sina shida na demu wake but nataka kampani iwe kubwa.Jamaa Uliposema Aje Na Shemeji
Akaona Kama Unataka Kupiga Mipira Ya Ulaya Inazunguuka Kama Inatoka, Mara Ghafla Goal
Haa [emoji23][emoji16][emoji3] Vita Ni Mbinu
Nakuja baba la babaHabari zenu wakuu? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Leo nipo Moshi mjini hapa toka Dar es salaam.Hivyo naomba kama kuna mtu yupo karibu aje hapa Qwine Pub tupeane kampani. Qwine pub ipo opposite na filling Station ya PANONE.
Karibuni sana na ahsanteni sana.
Hahaaah mkuu unataka unizunguke
ha ha ha anataka akuzunguke kwa bia 2 za 3000Hahaaah mkuu unataka unizunguke