Wenyeji wa Arusha mi mgeni wenu leo.

Wenyeji wa Arusha mi mgeni wenu leo.

Skype

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
7,266
Reaction score
1,637
Wakuu habari zenu? Niko njian toka Dar kuelekea Arusha. Naomba mnielekeze viwanja vya kujipumzisha. Natanguliza shukrani.
 
Karibu sana calfornia, lenana, rombo annex na meru inn
 
Karibu sana unga limited mkuu. usiogope hatutakusachi.
 
Wakuu habari zenu? Niko njian toka Dar kuelekea Arusha. Naomba mnielekeze viwanja vya kujipumzisha. Natanguliza shukrani.

Kama upo serious tuwasiliane au wasiliana na PakaJimmy, Preta, Filipo protocol hapo itakuwa imezingatiwa.
 
Karibu sana..niko naenda Babati mara moja nikirudi jioni ntakutafuta nikupeleke viwanja...
Usisahau sweta zito kuja nalo..
 
Karibu sana..niko naenda Babati mara moja nikirudi jioni ntakutafuta nikupeleke viwanja...
Usisahau sweta zito kuja nalo..

hebu fanya samaki mbili tatu bana.....
 
Naona takriban member wote wanakukaribisha viwanja (kama ulivyoomba umetumia neno "viwanja")
Ofcoz viwanja wanavyokukaribisha naona vyote vina elements za wewe kua booked kwenda MOTONI as know as jahhanam!
Sijui ndiyo option yako ?
Mimi sijui !
Aidha mie nakukaribisha viwanja vya NENO LA MUNGU fika Njiro container, au Limara kutakua na mahubiri safi kabisa!
Are you ready to join with ?
 
Shukran mkuu, ntakaribia.
 
Karibu nipo mrina nakusubiri,. Nimekwandalia bizaa 1 safi ya mlina
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom