Wenyeji nionesheni njia

Wenyeji nionesheni njia

Rev J

Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
13
Reaction score
0
mimi mgeni katika uwanja huu wa wanajamiiforum,hivyo naombeni msaada wenu kwa nyie wenyeji
 
karibu sana!!!
soma sheria mkuu!!
pia kumbuka jamiiforums inaendeshwa kwa host kujitolea, kwa uchumi huu, ukiwaunga mkono kwa chochote kitu Jamiiforums inakuwa juu zaidi.
 
Sijui kuwa unataka kufika pia. Karibu sana.
 
mimi mgeni katika uwanja huu wa wanajamiiforum,hivyo naombeni msaada wenu kwa nyie wenyeji

unataka njia ya kuelekea wapi? by the way kuna vibao
 
Back
Top Bottom