Wenyeji mseme...wapi hiyooo....

Wenyeji mseme...wapi hiyooo....

SI unit

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
1,953
Reaction score
767
1012790_193749920827348_1388363524_n.jpg
 
Kama kona za Iyovi kule karibu na kitonga Iringa.
 
kama barabara ya lushoto uwiii mepita zaman
 
kama barabara ya lushoto uwiii mepita zaman......
 
Mto ungwasi Rombo, inanikumbusha enzi zetu 1980s kiliboys wakati wa mechi za mpira na namfua, hapo palikua hamna lami, kipindi cha mvua ndo utajua kuwa kuna madereva wa ukweli, tope la kufa mtu alafu Leyland CD inapitishwa hapo kwa ustadi sana, mpaka abiria mnashangilia kwa furaha
 
Back
Top Bottom