Ukisimama nchale ukiinama nchale

Ukisimama nchale ukiinama nchale

Tarehe 21 eitha mseme hana kesi mumuachie au mseme ana kesi aite mashahidi wake

1. Sijui nan
2. Filp Isdori
3 Shekh Kasim
4.
5
Wote hawa twawataka kwa mahakama
nonsense 🐒
 

Attachments

  • 58189080-9ae1-11f1-b2f7-5d1639b20e22.jpg.webp
    58189080-9ae1-11f1-b2f7-5d1639b20e22.jpg.webp
    37.7 KB · Views: 3
Mwamba anatulea mashahidi wachovu sana na bahati mbaya anaenda kuwadodosa mwenyewe huku akina Katuga wamchukulia shahidi kama mama/baba mkwe mwenye kuhitaji operation kwenye nyeti zake. Katuga na wenzake kama madaktari wa pekee, je watashika nyeti za mkwe???
Hii kesi imefika pabaya sana.
Kuna mtu/watu lazima wawe certified fools next Friday.
 
jukumu la kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi ni la kizalendo na halihtaji malipo yoyote gentleman ila Neema na Baraka za Mungu tu zatosha 🐒
Wewe na wenzako mnalipwa shilingi ngapi? Hii kazi unayofanya sio poa kuna siku watakwambia shusha suruali inama.
 
Wewe na wenzako mnalipwa shilingi ngapi? Hii kazi unayofanya sio poa kuna siku watakwambia shusha suruali inama.
kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu ni wajibu wa kizalendo na hauhitaji malipo yoyote gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom