Wenye watoto wa kike tu

labda momeolewa mitaa ya jirani😁
Hapana, aliweka bond kwa wajukuu zake
Mfano
Kuna siku bint yangu WA 6yrs katoka nje getini anamwambia jirani nipeleke sehemu A kwa babu yangu Mzee B, jirani akaanza kum challenge kuwa utapotea anamwambia hapana wewe nipeleke Tu sehemu A halafu Mimi ntafika kwa babu yangu
Hapo ni umbali wakupanda gari nauli ya daladala 800

Yote hii kwasababu hajaenda kwa babu 2 weeks

Kuna namna naonaga anafurahia Sana wajukuu zake
 
Japo Kuna wengine wanamshambulia mtoa mada ila kama baba Kuna kipindi utajiuliza "future" ya watoto wako.
Kwa Dunia ya zamani tuliwaza sana kuhusu watoto wa kike hadi wengine wakawa wanakata tamaa hawawasomeshi
Kwa Dunia ya sasa kama baba unaejitambua licha ya malezi unayowapa lakini Kuna viwazo vitakujia TU kuhusu "future" ya watoto bila kujali jinsia kwa sababu ya majanga yaliyopo kwenye Dunia Yao.
Inachotakiwa ni wewe baba simama katika nafasi Yako huku pia ukiomba ulinzi wa Mungu juu yao
 

Mkabidhi kwa MUNGU au Allah kama wewe ni mtu wa Imani
 
Yote haya ni matatizo ya kujitakia katika jamii. Kwa kiasi kikubwa ni ujinga, na umasikini, ambao katika kiwango chake kikubwa kabisa hata umasiki i ni ujinga tu. Umasikini wa mawazo.

Ndiyo maana wazazi wa Finland, Sweden na Norway, wameshapita level ya matatizo haya.
 
Heri uwe na watoto wa kike hata kumi kuliko kuwa na mtoto wa kiume mmoja alafu aje kuwa shoga au teja isee maukivu yake sio ya dunia hii..
 
Mkuu vipi kuhusu wimbi la mashoga wanaozidi kuongezeka? Huoni pia watoto wetu wa kiume wako kwenye hatari?
 
walifanyaje wakayaepuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…