Wenye watoto wa kike tu

Yaani wewe furaha yako mtoto wako asigongwe ? elewa huyo ni kiumbe hai ana sifa ya kuzaa na bila kuvua nguo zake hawezi kuzaa! au wewe mama yako alikuzaa vipi? na huyo mkeo anapata vipi mimba? kuna point umejifichia ya kuwalea wasije kuanza mapema lakini haina nguvu sana kwa jinsi navokufikiria, yaani nafsi yako ni kima unawivu na watoto wako wa kike wasipigwe mashine, shekhe wangu huna hata uwezo wa,kuona dunia inakwendaje sasa. Hadi mitoto ya kiume inazagamuliwa uzuri tu hata ufanyeje tena tafadhari usitukane mamba hujavuka mto.
 
Hili ndio la msingi, vijana wanakwepa kuwajibika halafu wanakuja na blah blah zisizo kuwa na mantiki.

Kama mzazi wajibika ipasavyo kwenye malezi ya mtoto, akija kubadilika huko ukubwani iwe ni ulimbukeni wake, lakini isionekane kuwa hakufunzwa kabisa na wazazi wake.
 
Kuna Member Mmoja Humu JF Alikuwa Na Mawazo Kama Mleta Mada
Thread Yake Ipo Humu Alikuwa Nao Ke Tu Lakini Alileta Ushuhuda Alisimama Na Watoto Wake Mpaka Wakavuka Vikwazo Vyote Wana Maisha Yao
Jamaa Anajivunia Sana
 
Nimeusoma,nasisitiza,una Mawazo ya kizamani!Nina mjomba wangu anawakiume wa 4,na kawasomesha EMS Hadi Chuo!Vijana ni bangi tupu,Malezi na kumuomba sana Mungu,usikufuru,Je ukijazaa kama Grace machel!

Kuna Member Mmoja Humu JF Alikuwa Na Mawazo Kama Mleta Mada
Thread Yake Ipo Humu Alikuwa Nao Ke Tu Lakini Alileta Ushuhuda Alisimama Na Watoto Wake Mpaka Wakavuka Vikwazo Vyote Wana Maisha Yao
Jamaa Anajivunia Sana
maisha lazima wawe nayo lakini hawanaga msaada kwa wazazi wao.hasa wakiolewa
 
Sisi kwetu wakike tupo sita na wakiume 2 total 8
Kuna siku nilimuuliza Mzee ulikuwa unajiskiaje kila mtoto anaekuja anakuwa wakike,
Akasema alivyokuwa kijana aliona anakosa mwenzako wakiume mwenzie

Lakini kwenye huu utuuzima wake anasema hajutii kuwa na watoto wakike na anajivunia mno maana Ndo muda wote yupo nao na wajuu zake anafurahia
 
hamjaolewa ee?
 
Uwezo wako wa kufikiria umeishia hapo au umeamua tu kuwa mvivu.
Mimi maboss zangu wote ni wanawake na ni wateule wa Rais.

Wazazi wa maboss zangu wangekuwa na mawazo ya kishenzi kama yako huenda wasingewapeleka shule hao wamama.
 
unajisifu kabisa bosi wako ni mwanamke😁akiamka na kisirini kazi huna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…