Wenye watoto njooni huku

Wenye watoto njooni huku

Mtoto sio kikwazo cha kufikia malengo yako,,, tafuta msichana aleee mtoto chini ya uangalizi wa mama........... be strong n' all the best
 
Hakuna shaka utaweza tu cha msingi umpate mdada anaweza kukaa na mtoto vizuri
habar za jion wapendwa
naomben ozoefu kwa mliopitia hii hali hasa single mom
mchumba wangu alifariki nikiwa na mimba ya miez 2 tayari tulikua tumekamilisha taratibu zote ilibaki ndoa tu alipata ajal na kufariki ( mungu amlaze pepa) .
baadhi ya dada zangu walinishauri nitoe lakini sikuona haja niliamini mungu anamakusudi yake,, mama angu alinitia moyo sana

sasa mtoto anamiez 4 wazazi wameamua niende chuo nikasome!! nawauliza wazoefu wa kulea je! nitaweza kusoma na mtoto mdogo?? nafasi imepatikana ya nurse( medical attendat) na nimeambiwa kuna day.... je? nikipata bint wa kunisaidia kukaa na mtoto nitaweza? wazoefu naomben msaada wa ushauri na mawazo pia.
asanten
 
Mimi ninavyoona katika umri huo ni mapema mno kumuachia dada wa kazi....katika umri huo mtoto anahitaji uangalizi wa karibu sana kutoka kwako...
Nakushauri kwa faida ya mtoto wako mpendwa ni bora ungerusha mwaka kama kuna uwezekano...ili ulee mwanao vizuri..
Au kama bibi yake yupo karibu sio mbaya....kumuachia lakini sikushauri kumuachia dada wa kazi mtoto mwenye umri huo...
 
Kwa jinsi nilivyomuelewa ni kuwa hicho chuo kina day pia kwhy asb atakuwa anaingia darasani ila mchana au jioni anarudi kujumuika na familia yake yaan dada na mtoto.
 
habar za jion wapendwa
naomben ozoefu kwa mliopitia hii hali hasa single mom
mchumba wangu alifariki nikiwa na mimba ya miez 2 tayari tulikua tumekamilisha taratibu zote ilibaki ndoa tu alipata ajal na kufariki ( mungu amlaze pepa) .
baadhi ya dada zangu walinishauri nitoe lakini sikuona haja niliamini mungu anamakusudi yake,, mama angu alinitia moyo sana

sasa mtoto anamiez 4 wazazi wameamua niende chuo nikasome!! nawauliza wazoefu wa kulea je! nitaweza kusoma na mtoto mdogo?? nafasi imepatikana ya nurse( medical attendat) na nimeambiwa kuna day.... je? nikipata bint wa kunisaidia kukaa na mtoto nitaweza? wazoefu naomben msaada wa ushauri na mawazo pia.
asanten

Mtoto ni priority .she needs to be protected ,loved and cared of .Yaani Mimi simwamini mtu na mtoto wangu,.you need to bond na mwanao .i love being a mom ila mie ni house wife mume ndio ananihudumia.I get paid being a mother (hujawahi sikia mother ni full time job ) .
 
Mtoto sio kikwazo cha kufikia malengo yako,,, tafuta msichana aleee mtoto chini ya uangalizi wa mama........... be strong n' all the best

Tafuta rich boyfriend .kaa lea mwanao mpaka mwanao akianza kuongea ndio uende shule.Unaacha mwanao kwa ajili ya nursing ? Kama your goal is to be a nurse in Africa get a RICH BOYFRIEND ( escrow)
 
habar za jion wapendwa
naomben ozoefu kwa mliopitia hii hali hasa single mom
mchumba wangu alifariki nikiwa na mimba ya miez 2 tayari tulikua tumekamilisha taratibu zote ilibaki ndoa tu alipata ajal na kufariki ( mungu amlaze pepa) .
baadhi ya dada zangu walinishauri nitoe lakini sikuona haja niliamini mungu anamakusudi yake,, mama angu alinitia moyo sana

sasa mtoto anamiez 4 wazazi wameamua niende chuo nikasome!! nawauliza wazoefu wa kulea je! nitaweza kusoma na mtoto mdogo?? nafasi imepatikana ya nurse( medical attendat) na nimeambiwa kuna day.... je? nikipata bint wa kunisaidia kukaa na mtoto nitaweza? wazoefu naomben msaada wa ushauri na mawazo pia.
asanten
Achana na nursing lea mwanao wewe
 
Tafuta rich boyfriend .kaa lea mwanao mpaka mwanao akianza kuongea ndio uende shule.Unaacha mwanao kwa ajili ya nursing ? Kama your goal is to be a nurse in Africa get a RICH BOYFRIEND ( escrow)

.......huyo rich boyfriend ampate wapi? Angekuwa hata na kipato cha maana sidhani kama angeamua kuomba ushauri hapa wa kusomea nursing. Huyu dada hali mbaya kifedha, ndio maana solution kwake kaona bora akasome na uangalizi wa mtoto asaidiwe.

Maisha si rahisi kihivyo.
 
Kwa jinsi nilivyomuelewa ni kuwa hicho chuo kina day pia kwhy asb atakuwa anaingia darasani ila mchana au jioni anarudi kujumuika na familia yake yaan dada na mtoto.

Lakini mkuu....mtoto bado mdogo sana...
 
habar za jion wapendwa
naomben ozoefu kwa mliopitia hii hali hasa single mom
mchumba wangu alifariki nikiwa na mimba ya miez 2 tayari tulikua tumekamilisha taratibu zote ilibaki ndoa tu alipata ajal na kufariki ( mungu amlaze pepa) .
Nafikiri hii ajali ilitokea Mbozi kwa Noah.nasema hivi kwani uliyoyasema mwanzo vinaendana kila kitu....kama ni unasoma then unapata mda wa kurudi kumwangalia mwanao nenda ila isiwe chuo cha kukaa huko hadi miezi 4 au 6 bila kumuona mtoto coz bado ni mchanga sana
 
.......huyo rich boyfriend ampate wapi? Angekuwa hata na kipato cha maana sidhani kama angeamua kuomba ushauri hapa wa kusomea nursing. Huyu dada hali mbaya kifedha, ndio maana solution kwake kaona bora akasome na uangalizi wa mtoto asaidiwe.

Maisha si rahisi kihivyo.
kakwambia hana escrow?!acha maneno ya shombo
 
habar za jion wapendwa
naomben ozoefu kwa mliopitia hii hali hasa single mom
mchumba wangu alifariki nikiwa na mimba ya miez 2 tayari tulikua tumekamilisha taratibu zote ilibaki ndoa tu alipata ajal na kufariki ( mungu amlaze pepa) .
baadhi ya dada zangu walinishauri nitoe lakini sikuona haja niliamini mungu anamakusudi yake,, mama angu alinitia moyo sana

sasa mtoto anamiez 4 wazazi wameamua niende chuo nikasome!! nawauliza wazoefu wa kulea je! nitaweza kusoma na mtoto mdogo?? nafasi imepatikana ya nurse( medical attendat) na nimeambiwa kuna day.... je? nikipata bint wa kunisaidia kukaa na mtoto nitaweza? wazoefu naomben msaada wa ushauri na mawazo pia.
asanten

Defenetly wamama pia wanakufa wakati WA kujifingua wanawaacha watoto na Hao watoto wanakuwa
Kama mama yupo
Karibu akusaidie hakuna kitakachoharibika ili umlee mtoto by the way pole sana na hongera kwa kutoangamiza kiumbe taifa lijalo
 
Mkuu hongera kwa kuchukua uamuzi mzuri wa kulea ujauzito na leo una mtoto . Mungu akubariki kwa hilo kwani wengi walishindwa na hawakufiwa bali ujana na sababu zingine ambazo hatuzijui.

Nafikiri uamuzi wa kusoma nao mzuri lkn hiyo shule/chuo ni boarding au day. Kama unaweza kwenda na kurudi basi mzazi wako anafaa kukaa na mwanao ukiwa chuo , siamini sana wasichana wakazi peke yao manake huyo mtoto bado mdogo sana . Endelea kusoma michango ya wadau utapata kitu.

chuo kipo mbali na nyumban kwetu yaan ni mkoa mwingine. chuo ni day. kuhusu mama nae ni mfanyakazi anaenda na kirudi jion kutoka kazin
 
wapendwa mama nae nimfanyakazi ni nurse pia.
 
.......huyo rich boyfriend ampate wapi? Angekuwa hata na kipato cha maana sidhani kama angeamua kuomba ushauri hapa wa kusomea nursing. Huyu dada hali mbaya kifedha, ndio maana solution kwake kaona bora akasome na uangalizi wa mtoto asaidiwe.

Maisha si rahisi kihivyo.
Bravo kwa komenti yako. Nadhani hata Natalia ataelewa hali aliyonayo mleta mada, kama kungekuwa na option ya kupata bf mwenye pesa huyu binti asingekuja hapa coz huyo bf angeprovide kila kitu.

Kifupi, huyu binti hali mbaya kifedha lakini pia anahitaji elimu. Kama ni chuo cha kutwa aende na atamudu tu coz wengi wamefanya hivyo na wamefanikiwa. Ni kuwa makini tu.
 
Last edited by a moderator:
We nenda shule kasome....huwezi jua kesho utakutana na nini usipoteze hii nafasi hata kidogo ukizingatia wewe baba na mama kwa wakati mmoja....unatakiwa uwe na kipato cha kuwezesha kumlea na kusoma kama watoto wengine. Nina rafiki yangu alijifungulia chuo tena katikati ya mhula wakati shule imechanganya.....tafuta dada au kama una ndugu wa karibu itakuwa nzuri zaidi. Mtoto huyo bado mdogo unahitaji kumlea wewe mwenyewe.
 
pole dada. Ni kitu gani kinakufanya uharakishe sana kwenda shule mwaka huu? Ufadhili au? Kwa umri wako sikushauri uende mkoani na housegirl akulelee mtoto mchanga kiasi hicho. Hata wewe unahitaji kuwa karibu na mamako akusaidie kulea. Mtoto mchanga anahitaji uangalizi wa karibu jamani asikwambie mtu. Nashauri usubiri mtoto afikishe japo mwaka kinga ya mwli wake iwe imeimarika na pia kujenga uhusiano wenu. Kama ni lazima uende mwaka huu basi mwachie mama yako. Vinginevyo tafuteni "housegirl" mama mtu mzima ambaye amezaa na kulea. Mie nilianza shule ya nyongeza mtoto alipofikisha miaka miwili. Alipofikisha miaka 2.3 nilimwachisha nyonyo na kumpeleka chekechea kumuepusha kushinda na housegirl. Akirudi anakuta nami nishatoka shule tunaendelea na maisha yetu. Yuko la pili sasa. Ukaribu wa mama na mtoto ni muhimu jameni. Kama ni lazima kwenda shule mwaka huu mtoto abaki na bibi.
 
Tafuta rich boyfriend .kaa lea mwanao mpaka mwanao akianza kuongea ndio uende shule.Unaacha mwanao kwa ajili ya nursing ? Kama your goal is to be a nurse in Africa get a RICH BOYFRIEND ( escrow)

Huyo rich boifrend ampate wapi??? na angekua na pakumpatia asingekua hapa kuomba ushauri......... na bora ajiendeleze apate kipato cha kulea huyo mtt kuliko kutegemea rich boy n' ukumbuke sio wote wenye bahati ya kuhongwa wengine bahati yao free p!...
 
amini unaweza mama...jipange MUOMBE MUNGU hasa kupata housegal mwenyye upendo kwa mtoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom