- Thread starter
- #41
amini unaweza mama...jipange MUOMBE MUNGU hasa kupata housegal mwenyye upendo kwa mtoto
asante kwa ushauri mungu ni mwaminifu
amini unaweza mama...jipange MUOMBE MUNGU hasa kupata housegal mwenyye upendo kwa mtoto
Tafuta binti wa kazi ila akae hapo nyumbani na mama...pole sana kwa kufiwa!!!wapendwa mama nae nimfanyakazi ni nurse pia.
Habari za jioni wapendwa.
Naombeni uzoefu kwa mliopitia hii hali hasa single mom.
Mchumba wangu alifariki nikiwa na mimba ya miez 2 tayari tulikuwa tumekamilisha taratibu zote ilibaki ndoa tu alipata ajali na kufariki ( mungu amlaze pepa)
baadhi ya dada zangu walinishauri nitoe lakini sikuona haja niliamini mungu anamakusudi yake,, mama angu alinitia moyo sana.
Sasa mtoto anamiezi 4 wazazi wameamua niende chuo nikasome! nawauliza wazoefu wa kulea je! nitaweza kusoma na mtoto mdogo?? nafasi imepatikana ya nurse( medical attendat) na nimeambiwa kuna day.... je? nikipata bint wa kunisaidia kukaa na mtoto nitaweza? wazoefu naomben msaada wa ushauri na mawazo pia.
Asanteni