Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,598
- 65,049
- Thread starter
- #41
Kuna mmoja anaweza kufanya na wewe ila kwa project- unampa Project anaifanya mkishakubaliana then ndo unamlipa. Kama utahitaji ntakulink nae. Nna few show real zake kwa laptop yangu ila kama utani pm no yako ya Whatsup ntampa atakutumia few animation zake ucheck kwanza
Wazo lako ni zuri, hofu yangu ni unapo 'subcontract core business' kuna uwezekana kampuni ikayumba na kupoteza muelekeo. Mfano, labda nimepata order 10 sehemu tofauti, huyu mtu wa nje ni vigumu kumsimamia, na ikitokea ameacha kufanya, kampuni itapoteza trust kwa wateja, pamoja na kulipa fidia.