Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,598
- 65,049
Kuna kipindi nilileta uzi wa kutafuta 'animators'/ watengenezaji wa video za katuni; Sikufanikiwa kupata wajuzi, ili niweze kuwapa ajira.
Nimegundua hii 'field' wengi hawana ujuzi, kwa hiyo nimekuja na mkakati mwingine wa kuwapata hawa wajuzi, ambao itabidi wajifunze kwa 'online' kwa gharama zao, ambao nitawapatia mwalimu wa kuwafundisha.
Kwa sasa wanatakiwa vijana watano (5) wenye mautundu katika computer, wawe na laptop yenye uwezo; baada ya kujua vizuri nitafanya nao kazi.
Wenye nia, karibuni.