kikoozi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 2,032
- 2,936
Habari za muda huu ndugu zangu, nilikuwa nataka kununua nyumba sehemu, iyo nyumba mwenye nyumba amesha niambia bei ambayo anauza nyumba yake, maswali ninayo taka kujua ni
1. Je ni bank wakijua nataka kutoa ela kwaajili ya kununua nyumba, kuna gharama za ziada watakata kwaajili ya ununuzi wa iyo nyumba na ni kiasi gani?
2. Je kuna gharama za serikali za mitaa zozote kwaajili ya ununuzi wa iyo nyumba na ni kiasi gani?
3.je kuna gharama zozote TRA kwaajili ya ununuzi wa iyo nyumba na ni kiasi gani?
4. Je kuna Gharama zozote wizara ya aridhi kwaajili ya iyo nyumba na ni kiasi gani?
5. Na gharama zinginezo kama zipo naomba nitajiwe ili nione kama naweza kumudu
Note: naombeni mwongozo na mambo yote ya kuzingatia katika kununua nyumba kwa mtu ili niepushe gharama na kupigwa
Karibu ndugu zangu