Wenye uzoefu wa kununua nyumba

Wenye uzoefu wa kununua nyumba

Habari za muda huu ndugu zangu, nilikuwa nataka kununua nyumba sehemu, iyo nyumba mwenye nyumba amesha niambia bei ambayo anauza nyumba yake, maswali ninayo taka kujua ni

1. Je ni bank wakijua nataka kutoa ela kwaajili ya kununua nyumba, kuna gharama za ziada watakata kwaajili ya ununuzi wa iyo nyumba na ni kiasi gani?

2. Je kuna gharama za serikali za mitaa zozote kwaajili ya ununuzi wa iyo nyumba na ni kiasi gani?

3.je kuna gharama zozote TRA kwaajili ya ununuzi wa iyo nyumba na ni kiasi gani?

4. Je kuna Gharama zozote wizara ya aridhi kwaajili ya iyo nyumba na ni kiasi gani?

5. Na gharama zinginezo kama zipo naomba nitajiwe ili nione kama naweza kumudu

Note: naombeni mwongozo na mambo yote ya kuzingatia katika kununua nyumba kwa mtu ili niepushe gharama na kupigwa

Karibu ndugu zangu
namba 3;
tra wanachukua 3 percent (3%) ya mauzo kama una documents za muamala huo.
 
😂😂Ule ni mradi wa kujenga na kununua kwa vile ardhi ya kule haina thamani yaaani nyumba ya 50mil unaona kali ila ni hovyo ndani.
Na marangi yao ya pink sijui kijani yaani fence ina rangi kama nne hazieleweki. Mtu unaishije mbagala
 
Shukrani sana ndugu yangu, je kwenda bank kuangalia kama aijachukuliwa mkopo nazunguka bank zote au ?
Nyumba iliyochukuliwa mkopo bank muuzaji hatakuwa na hati. Hati itakuwa kwa bank kama amana ya mkopo. Muuzaji atakuwa na nakala kivuli cha HATI husika hivyo ni vema kuwaona viongozi wa mtaa/kitongoji. Inavyoonekana, nyumba hii inauzwa ili kuwahi deadline ya deni la bank hivyo kuwa makini sana.
 
Back
Top Bottom