Wonderful
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 7,348
- 5,977
Mie nahitaji mwalimu kwa ajiri ya kumfundisha mtu mzima ambaye hakupata elimu ya msingi kikamilifu,maana aliishia darasa la pili,mwl awe mwanamke umri kuanzia 35-50yrs ili waendane na mwanafunzi ambaye pia ni mdada wa umri huo.
Mkataba utaanza mwezi wa6.
Mahali ni Moro mjini au anaweza kuja hapa Dar.
Aliye tayari anicheki PM anipe no ili nimuunganishe na muhitaji.
Mshahara ni mzuri na wakuridhisha.
Itakua ni full time from 9.00am-15.00pm inshaallah!
Mkataba wa awali ni six months!!