Wenye uhitaji wa walimu wa masomo yote njoo hapa tukutane na professional teachers

Mie nahitaji mwalimu kwa ajiri ya kumfundisha mtu mzima ambaye hakupata elimu ya msingi kikamilifu,maana aliishia darasa la pili,mwl awe mwanamke umri kuanzia 35-50yrs ili waendane na mwanafunzi ambaye pia ni mdada wa umri huo.
Mkataba utaanza mwezi wa6.
Mahali ni Moro mjini au anaweza kuja hapa Dar.
Aliye tayari anicheki PM anipe no ili nimuunganishe na muhitaji.
Mshahara ni mzuri na wakuridhisha.
Itakua ni full time from 9.00am-15.00pm inshaallah!
Mkataba wa awali ni six months!!
 
Mimi ni MWALIMU WA PHYSICS&MATHS (Bsc Education) nipo Kahama kwa shule yoyote kahama ama nje ya mkoa nipo tayari kwa mkataba wa manufaa kwa pande zote mbili CV zipo
 
Mie nahitaji mwalimu kwa ajiri ya kumfundisha mtu mzima ambaye hakupata elimu ya msingi kikamilifu,maana aliishia darasa la pili,mwl awe mwanamke umri kuanzia 35-50yrs ili waendane na mwanafunzi ambaye pia ni mdada wa umri huo.
Mkataba utaanza mwezi wa6.
Mahali ni Moro mjini au anaweza kuja hapa Dar.
Aliye tayari anicheki PM anipe no ili nimuunganishe na muhitaji.
Mshahara ni mzuri na wakuridhisha.
Itakua ni full time from 9.00am-15.00pm inshaallah!
Mkataba wa awali ni six months!!
kumfundisha mtu mmoja ndo iwe mkataba wa miezi sita..!!!!!
tena full time.... huyo mwanafunzi ndo ana hasira sana na shule au vp!
 
Mkuu usiangalie quantity ya wanafunzi,Bali angalia quality ya mshahara!
ila mkuu mbona wanaume wapo vizuri tu kufundisha... kwann umechagua mwalimu wa kike... mi naitaka hiyo fursa ila tufanye regulation kwenye hayo masharti maana daaah..!!!!!
 
ongea nae basi.... mwambie kuna mwanaume anataka kuchukua hiyo fursa inakuwaje... maana ye kapendekeza mwanamke!!!
Angeshapata mkuu maana hapo kwao ana mtoto wa kaka ake ni mwalimu lakini hataki kufundishwa na mwanaume.
So hitajio lake ni mwalimu wa kike!!!!
 
Angeshapata mkuu maana hapo kwao ana mtoto wa kaka ake ni mwalimu lakini hataki kufundishwa na mwanaume.
So hitajio lake ni mwalimu wa kike!!!!
huyo mwanafunzi kiboko....!!!!
anaweza kumchapa fimbo mwalimu kunakoelekea sasa..!!!!
 
Back
Top Bottom