meningitis JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 8,464 Reaction score 4,832 Apr 18, 2011 Thread starter #21 hatimaye mmoja wao ndio hivyo tena
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,199 Apr 18, 2011 #22 kipindupindu said: hivi jk akiiona hii picha inakuaje? Click to expand... atajifunza kuwa wizi wa kura sio mzuri ,,,mwenzie alikuwa anasweeti mapaka anajifuta jasho makwapani....kudadeki..unafanya mchezo nini na likitambi lake la maboga
kipindupindu said: hivi jk akiiona hii picha inakuaje? Click to expand... atajifunza kuwa wizi wa kura sio mzuri ,,,mwenzie alikuwa anasweeti mapaka anajifuta jasho makwapani....kudadeki..unafanya mchezo nini na likitambi lake la maboga
Vinci JF-Expert Member Joined Jul 6, 2009 Posts 2,637 Reaction score 675 Apr 19, 2011 #23 Hapana Mama mdogo...kibao hakipo kwake ni kwamba umeangalia vibaya tuu....nadhan miwan yako inaelekea kupoteza nguvu Mama Mdogo said: Tabia gani jamani? Mtupashe kwani hapo namuona Rais wetu kawekewa kibao cha Cote De'Voire badala ya Tanzania, huu ni uchokozi, au??? Click to expand...
Hapana Mama mdogo...kibao hakipo kwake ni kwamba umeangalia vibaya tuu....nadhan miwan yako inaelekea kupoteza nguvu Mama Mdogo said: Tabia gani jamani? Mtupashe kwani hapo namuona Rais wetu kawekewa kibao cha Cote De'Voire badala ya Tanzania, huu ni uchokozi, au??? Click to expand...