Wenye software aina mbalimbali soma hapa.

Radio Producer

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2011
Posts
728
Reaction score
322
Hello wana Jf,
Naomba msaada wa Adobe PDF writer! kwa aliyenayo anisaidie!
Thanks
 
Ukipata Adobe CS4 ina adope Professional ambayo ni Reader& Writer pia!!
Tena kwa wewe itakusaidia kutokana na nature ya kazi yako kuna application nyingi ambazo capable kwa ajili ya kutengeneza audio na Video,
Kwa hiyo Jingles na Advert ungekuwa unapeta!
 
Hata CS3 inayo....
 
With Abode Acrobat Pron dio utaweza fill pdf form!!...
 
Ukipata Adobe CS4 ina adope Professional ambayo ni Reader& Writer pia!!
Tena kwa wewe itakusaidia kutokana na nature ya kazi yako kuna application nyingi ambazo capable kwa ajili ya kutengeneza audio na Video,
Kwa hiyo Jingles na Advert ungekuwa unapeta!

Baba Ubaya nipe basi ndugu yangu?
 
uko kwenye radio unaproduce nn mbona kila siku tunaona maandishi tu?

Unataka kuona kazi zangu mkuu! haina shida ukitaka nitakupa au nikufanyie kazi moja kwa ofa wewe sasa unataka nikufanyie kitu gani?? program gani lete dada tumalizane mkuu! hii ni ofa kwako free!
 
kumbe hujaanza kuproduce!!!!!! kama umeshaanza onyesha weka clip ya one of your best production
 
Follow Radio Sauti ya Injili online by searching from google and listen uwanja wa Vijana program
 
Back
Top Bottom