Wenye nguvu ya giza walivyopendelewa

Wenye nguvu ya giza walivyopendelewa

Yaan nilichogundua kuhusu haya yanayo endelea kwenye Familia yangu.. Ukiyajua unaweza Sema Mungu hayupo Kwenye hii dunia.. Yaan nimelia mpaka nahisi kizungu zungu .. Hata hamu ya kumuangalia mtu usoni sina kabisa naihisi kila mtu ni hatari sana..

Kuna muafaka nimeufikia ila naombeni wataalamu wa Biblia na maandiko waniasaidi.. " hivi kwenye ule mstari unao sema Usimuache mwanake mchawi aishi" una maanisha nini hasa?? Je anatakiwa afe kama maana ya moja kwa moja ya maandiko hayo au kuna uficho wa mengineo?? naombe kujua maana kuna kitu nataka kufanya nisije kuwa niko nje ya maana ya mistari hiyo?

Naombeni sana mniombee litakalo kuwa kwa vyovyote.. Sikupenda iwe hivyo ila Mungu niliye mpigia goti kwa miaka yote na kufunga na kusali mara 7 kwa siku haku nijibu.. Nadhani chochote ntakachofanya kitakuwa ndio mpango wake..

Ila kukubwa naombeni ufafanuzi wa hayo maandiko kuhusu mchawi.. ili nipate Nguvu zaidi.

Natanguliza shukrani.

Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
 
Jaribio langu la Kwanza la Kumaliza Wabaya wangu limegonga mwamba.. Ila sasa Nafanya mpango niende MPAKANI MWA KIGOMA NA CONGO.

will see their power.
 
Jaribio langu la Kwanza la Kumaliza Wabaya wangu limegonga mwamba.. Ila sasa Nafanya mpango niende MPAKANI MWA KIGOMA NA CONGO.

will see their power.
Pole sana mkuu. Kwa kweli Kuna wakati unafika mtu unaamua kufanya lolote
 
Pole sana mkuu. Kwa kweli Kuna wakati unafika mtu unaamua kufanya lolote
Sina jinsi bro.
Nimepiga goti kwa miaka ila Bado wanatusumbua bila huruma.. nimesusia hadi malizote za urithi ili watuache tuwe na aman ila wao wamekusudia kutu maliza.. hawajali undugu wala haki zetu za kufurahia maisha hawajali..

Sina jinsi .. Maana Ata Mungu ameniona nilivyofunga na kusali kwa miaka nikiombea ndugu na amani ila imeshindikana.. Wamekusudia ubaya sana na hawabadiliki.
 
Ukisema wewe ni wa kizazi cha nne unahesabu kuanzia wapi, maana binaadam wameanza kuwepo duniani miaka Milion tatu iliyopita.
 
Maumivu yangu katika maandishi

Unaweza zoea "ukiwa" katika maisha yako kiasi kwamba ukiona mtu anacheka unajiuliza hivi huyu yupo dunia ipi?

Guys, kuna maisha na kuna mapito. Kuna laana na kuna kuchukiwa. Siku zote usiombe Mungu akachukia familia yako wala asitie laana kwenye familia yako maana

Kuna kusaga meno na kuna kulia machozi ya damu

Kuna kudharauliwa na kutemwa mate

Kuna kushushwa kabla huja jishusha

Balaa zaidi nikukutana na watumishi fake wanao taka kutumia mateso yako kukutoa hela kwa kivuli cha mungu kawaagiza utoe sadaka flani ili akusamehe. Amini nakuambia usiombe usiombee!

Utashughudia hatua za maendeleo ya wenzako na wewe utakuwa ngazi ya kukanyagiwa wawo wafike juu. Ogopa sana hasira za Mungu. Ogopa sana maana hata usali na kutubu vipi kama asha piga muhuri wa mateso katika uzao wenu utaomba aridhi ipasuke.

Kuna wakati huwa najiuliza mara yangu ya mwisho kuwa na tabasamu la kweli usoni mwangu ni lini, wala sikumbuki nalitafuta sana jibu katika kipindi cha miaka mingi nyuma silioni, kile ninaweza kiona kwangu ni huzuni, ukiwa, maumivu ya moyo, maisha ya siyo na ladha, kutengwa, kufungiwa gereza kuu la ajira, mikono yangu kuwa locked na pingu isifanye biashara.

Mifuko yangu imetobolewa isikae na hela, hisia zangu zime kuwa diluted na chuki usipende wala kupendwa. Macho yangu yamekuzwa nishughudie maendeleo ya wengine na akili yangu imefungwa isifanye chochote katika dunia.

Kila nisalipo naona kabisa sala zangu hazina nguvu wala hazi mfikii muumba. Nikiwaza ukiwa wangu tangu nikiwa na miaka 3 mpaka nafikia utu uzima huu, najiuliza ikiwa tuna ambiwa mungu halali wala hafungi macho ilikuwaje mimi na ndugu zangu tukayapitia yote yale na mpaka sasa nayapitia haya yote?

Huwa najiuliza maswali ya wapi jicho lake lilipo kuwa hata mimi na ndugu zangu tuka yapitia yote haya? Najiuliza ule mpango wa wenye hila kutudhulumu haki yetu ya amani hapa duniani na kumuuwa baba na kaka yangu mkubwa, na bado wameendelea kuangamiza ukoo wa baba yangu, je! Mungu hakuona? Bila shaka aliona je! Ukimnya wake kwa miaka yote hii 30 ni kwamba haoini mateso yetu?

Je, yanayoendelea mpaka sasa hayaja mguswa kutoa adhabu yake kwa wahusika? Je, kama kuna kisasi cha Mungu cha adhabu kwetu, let' say kwamba mababu zetu wali muudhi akaachia laana ikaja kwetu sisi wa kizazi cha 4, je katika kulia kwetu na kuomboleza bado adhabu hizo za mababu hazi sameheki kwetu?

Je, hawa wanao tumia uchawi kutesa familia nzima na bado wana raha katika maisha yao na bila aibu wana jisema wazi wazi kuwa wata mmaliza yeyote atakaye inua mdomo kudai haki au kuulizia kifo cha baba mzazi, je hawa wame mpa nini mungu ata awafanye watabasamu na kuishi katika nyumba yetu?

Je, inatupasa tuishi kwa kulipiziana kisasi kwa kuwa haki kwa mungu haipatikani? Je, na mimi nikibuni mbinu yangu ya kuwaangamiza wale wanao wafanya ndugu zangu kuwa vichaa na kuuwa wengine, mungu ata nilinda kama anavyo walinda wale? Je huu uchawi unao tumika kuuwa wasio na hatia umepewa baraka na maandiko? Kama jibu ni hapana mbona maandiko yana sema usimuache mchawi aishi ila hawa wanaishi na kila mwaka wanauwa na kutesa watu kwa magonjwa, je hayo maandiko hayatendi kazi kwa ulimwengu wa sasa?

Kuna mengi sana nimejiuliza bila kupata majibu sana sana naogopa kuishia kumkufuru mungu wangu, ila naamini sistahili haya nipitiayo sasa, kwa kuwa nimeshughudia baadhi ya watu mbali mbali wakifanya kufuru na ushirikina mkubwa ambao mm sikusubutu hata kuya waza ila wao wana ishi kwa mafanikio na baraka za kila wafanyacho, ila uzao wa mama yangu umekuwa na mateso makali tangu utotoni mwao na bado wanataabika mpaka leo hii, na ukitafuta kikubwa walicho mkosea mungu hukioni.

Namuomba mungu sana kabla ya kufa kwangu angalao anifungulie kosa langu na ndugu zangu ni nini nipate amani maana nimetafuta tangu tukiwa na miaka mi3 ni mateso katika hii dunia, najaribu kuwaza ndugu zangu kwa mri ule walimkosea nini mungu hata aruhusu wawe mateka wa nguvu za giza, mateso yao kwa miaka yao yote mpaka sasa! Sina maana ya kupinga kazi ya mungu ila nautafuta ukweli wa fedhea hizi katika familia mauwaji, dhuluma na kusoma na kukosa kazi, biashara haziendi, kuchukiwa kwetu na kudharaulika.

Natamani siku moja niandike kitabu cha mapito yangu ya adhabu ya laana za mababu zinavyo ni andama mm wa kizazi cha 4.

Watu wajifunze kuwa hata ukiwa mwema kwa Mungu kama kuna muhuri wake ulifanyika juu ya kizazi chenu huta epuka muhuri huo.
Umepotea mbali sana na ukweli, kwa sababu hiyo hautakaa kamwe upate furaha yeyote kwenye maisha yako. Huna tofauti na mtu aliefunga macho alafu analalamika kwamba haoni. Umepewa uhai na akili alafu unaishia kulalamika kana kwamba unanyanyasika. Kila mtu anapewa masaa 24 na wewe unapewa hayo hayo alafu unashindwa kujipanga?
 
Back
Top Bottom