Wenye nguvu ya giza walivyopendelewa

Wenye nguvu ya giza walivyopendelewa

Kwa Haya Maumivu ya Moyo na Msongo wa Mawazo.. Na Taarifa za Mateso ya Ndugu zangu yanavyo nitesa akili.. maana Degree niliyosoma haina samani vyeti viko kabatini.. Siiajiriki.. Biashara nilizo fanya zote zimekufa.

Alafu kila siku unauza vitu vya ndani ili upate kula .. Ukijaribu kusema usamehe ili Mungu afanye kazi yake, Ghafla unapokea Simu ya Ndugu flani kawa kichaa mara kesho Mama tatizo hili mara kesho kutwa Unaambiwa Walio wazulumu wanauza nyumba yenu Mara ghafla Ndugu yako mwingine Ameacha kazi anakunywa tu pombe mpaka ana lala mitaroni. Ghafla unaambiwa ndugu mwingine Kachanganyikiwa ameonekana ana ongea mwenyewe njiani.. ukimfuatilia unaambiwa Ana lala kwenye Mito maporini..

AJABU WATOTO WOTE TULIZALIWA KWENYE FAMILIA BORA BABA ALIKUWA BOSS MKUBWA SABA BANK KUKU(BOT) TULIZALIWA WAZIMA WOTE MPAKA WATU WANAFIKIA MIAKA 30 WENGINE 35 GHAFLA WOTE WANACHANGANYIKIWA ALAFU WANO TUFANYIA WANA TAMBA KABISA MITAANI KUWA WATA TUMALIZAA.. Hivi unadhani kama yote haya yanatoke Je Hayo maandiko yako yangekuwa yana wezekana yasinge tekelezeka ?
Aiseeeeeee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maumivu yangu katika maandishi

Unaweza zoea "ukiwa" katika maisha yako kiasi kwamba ukiona mtu anacheka unajiuliza hivi huyu yupo dunia ipi?

Guys, kuna maisha na kuna mapito. Kuna laana na kuna kuchukiwa. Siku zote usiombe Mungu akachukia familia yako wala asitie laana kwenye familia yako maana

Kuna kusaga meno na kuna kulia machozi ya damu

Kuna kudharauliwa na kutemwa mate

Kuna kushushwa kabla huja jishusha

Balaa zaidi nikukutana na watumishi fake wanao taka kutumia mateso yako kukutoa hela kwa kivuli cha mungu kawaagiza utoe sadaka flani ili akusamehe. Amini nakuambia usiombe usiombee!

Utashughudia hatua za maendeleo ya wenzako na wewe utakuwa ngazi ya kukanyagiwa wawo wafike juu. Ogopa sana hasira za Mungu. Ogopa sana maana hata usali na kutubu vipi kama asha piga muhuri wa mateso katika uzao wenu utaomba aridhi ipasuke.

Kuna wakati huwa najiuliza mara yangu ya mwisho kuwa na tabasamu la kweli usoni mwangu ni lini, wala sikumbuki nalitafuta sana jibu katika kipindi cha miaka mingi nyuma silioni, kile ninaweza kiona kwangu ni huzuni, ukiwa, maumivu ya moyo, maisha ya siyo na ladha, kutengwa, kufungiwa gereza kuu la ajira, mikono yangu kuwa locked na pingu isifanye biashara.

Mifuko yangu imetobolewa isikae na hela, hisia zangu zime kuwa diluted na chuki usipende wala kupendwa. Macho yangu yamekuzwa nishughudie maendeleo ya wengine na akili yangu imefungwa isifanye chochote katika dunia.

Kila nisalipo naona kabisa sala zangu hazina nguvu wala hazi mfikii muumba. Nikiwaza ukiwa wangu tangu nikiwa na miaka 3 mpaka nafikia utu uzima huu, najiuliza ikiwa tuna ambiwa mungu halali wala hafungi macho ilikuwaje mimi na ndugu zangu tukayapitia yote yale na mpaka sasa nayapitia haya yote?

Huwa najiuliza maswali ya wapi jicho lake lilipo kuwa hata mimi na ndugu zangu tuka yapitia yote haya? Najiuliza ule mpango wa wenye hila kutudhulumu haki yetu ya amani hapa duniani na kumuuwa baba na kaka yangu mkubwa, na bado wameendelea kuangamiza ukoo wa baba yangu, je! Mungu hakuona? Bila shaka aliona je! Ukimnya wake kwa miaka yote hii 30 ni kwamba haoini mateso yetu?

Je, yanayoendelea mpaka sasa hayaja mguswa kutoa adhabu yake kwa wahusika? Je, kama kuna kisasi cha Mungu cha adhabu kwetu, let' say kwamba mababu zetu wali muudhi akaachia laana ikaja kwetu sisi wa kizazi cha 4, je katika kulia kwetu na kuomboleza bado adhabu hizo za mababu hazi sameheki kwetu?

Je, hawa wanao tumia uchawi kutesa familia nzima na bado wana raha katika maisha yao na bila aibu wana jisema wazi wazi kuwa wata mmaliza yeyote atakaye inua mdomo kudai haki au kuulizia kifo cha baba mzazi, je hawa wame mpa nini mungu ata awafanye watabasamu na kuishi katika nyumba yetu?

Je, inatupasa tuishi kwa kulipiziana kisasi kwa kuwa haki kwa mungu haipatikani? Je, na mimi nikibuni mbinu yangu ya kuwaangamiza wale wanao wafanya ndugu zangu kuwa vichaa na kuuwa wengine, mungu ata nilinda kama anavyo walinda wale? Je huu uchawi unao tumika kuuwa wasio na hatia umepewa baraka na maandiko? Kama jibu ni hapana mbona maandiko yana sema usimuache mchawi aishi ila hawa wanaishi na kila mwaka wanauwa na kutesa watu kwa magonjwa, je hayo maandiko hayatendi kazi kwa ulimwengu wa sasa?

Kuna mengi sana nimejiuliza bila kupata majibu sana sana naogopa kuishia kumkufuru mungu wangu, ila naamini sistahili haya nipitiayo sasa, kwa kuwa nimeshughudia baadhi ya watu mbali mbali wakifanya kufuru na ushirikina mkubwa ambao mm sikusubutu hata kuya waza ila wao wana ishi kwa mafanikio na baraka za kila wafanyacho, ila uzao wa mama yangu umekuwa na mateso makali tangu utotoni mwao na bado wanataabika mpaka leo hii, na ukitafuta kikubwa walicho mkosea mungu hukioni.

Namuomba mungu sana kabla ya kufa kwangu angalao anifungulie kosa langu na ndugu zangu ni nini nipate amani maana nimetafuta tangu tukiwa na miaka mi3 ni mateso katika hii dunia, najaribu kuwaza ndugu zangu kwa mri ule walimkosea nini mungu hata aruhusu wawe mateka wa nguvu za giza, mateso yao kwa miaka yao yote mpaka sasa! Sina maana ya kupinga kazi ya mungu ila nautafuta ukweli wa fedhea hizi katika familia mauwaji, dhuluma na kusoma na kukosa kazi, biashara haziendi, kuchukiwa kwetu na kudharaulika.

Natamani siku moja niandike kitabu cha mapito yangu ya adhabu ya laana za mababu zinavyo ni andama mm wa kizazi cha 4.

Watu wajifunze kuwa hata ukiwa mwema kwa Mungu kama kuna muhuri wake ulifanyika juu ya kizazi chenu huta epuka muhuri huo.
Aiseee pole , kuwa mwangalifu na wachangiaji wengi hasa walokole uchwara maana Ni wanafiki wa kutupa , wanajidai kukupa vifungu mbalimbali vya Biblia kukulaghai , uchawi unaondolewa kwa uchawi , hao walokole na wachungaji uchwara mimi mwenyewe kwa macho yangu nimekutana kwa waganga wakipewa nguvu za giza , siku nikipata muda nitafungua uzi juu ya hilo .Kifupi hao wachawi wametumia stairi ya kukuua huku ukiwa hai wewe na ndugu zako , anyway uko wapi nikusaidie kukupeleka KidyaMsitu ukamalize mateso yako , pole sana . Utanipm .
 
Ndugu, nimeandika na kufuta zaidi ya mara nne, kuna shida kubwa mahali, Si laana inayowatesa! Mzee asingepanda cheo hivyo ! uliyoambiwa kuhusu yanayokusibu ni kweli, ingawa sina hakika kama wahusika ni hao hao unaowashuku. Lkn kuna mkono wa mtu, Mungu hakupitishi kwenye majaribu ya Ayubu karne hii. Hayo yalikuwa enzi zile Mungu anapiga story na wanadamu na si sasa! Tatizo kubwa zaidi ni kwamba watu watatake advantage of your situation, hutamjua wa kukusaidia wala wa kukuongezea shida zako, kwa kanisani wapo wa kuku saidia(mimi si mlokole) lkn ni wachache sana na nje na kanisa kuna msaada pia ingawa napo ni wachache wakweli,
Cha muhimu kuliko vyote unatakiwa kupunguza hasira na uchungu moyoni ili uweze ku reason vizuri.
Cha pili tafuta ajira au kazi y kukupa kipato, tafuta kazi by any means( kanisani ama kule kwingine) mbali na home ,kazi yyt ya kukupa kipato
Ukiwa na pesa ya kutosha unaweza kuwaza kuwakomboa ndugu na mama yako lkn bila pesa mkononi msaada wa maana hutapata na visasi si dili sana, kwa jumla achana na visasi , wachawi wana magenge yao ya kibishi sana, hawachoki kushambulia endapo umemdhuru mmoja wao itakuwa vita ya kudumu. Komboa ndugu zako kisha pita kushoto.
Pole sana na matatizo
 
Aiseee pole , kuwa mwangalifu na wachangiaji wengi hasa walokole uchwara maana Ni wanafiki wa kutupa , wanajidai kukupa vifungu mbalimbali vya Biblia kukulaghai , uchawi unaondolewa kwa uchawi , hao walokole na wachungaji uchwara mimi mwenyewe kwa macho yangu nimekutana kwa waganga wakipewa nguvu za giza , siku nikipata muda nitafungua uzi juu ya hilo .Kifupi hao wachawi wametumia stairi ya kukuua huku ukiwa hai wewe na ndugu zako , anyway uko wapi nikusaidie kukupeleka KidyaMsitu ukamalize mateso yako , pole sana . Utanipm .
Asante bro

Yaan kaka hichi.ulicho kiongea ndio kina niuma sana.. yaan huyu Mama anayetufanyia hivi ni mlokole kwa miaka mingi na ana wahadaa watu.. kwa miaka mingi na anasafiri sana kwenda kwenye makongamano mpaka ana hubiri kabisa.. na baadhi ya watu wana muita Mama mchungaji.. Ila.kwenye ukoo wake uku nyuma wanao mjua wenyewe wana mshangaa Mungu kwanini akubali kidhihakiwa miaka yote.. yaan huyu mama ni mchawi duniani hakuna kwa waganga Zanzibar , Tanga, Sumbawanga na mikoa yote yenye waganga mashuhuri ameenda.. mpaka kawa mchawi watu mtaani wana muona Usiku akiwanga.. lakin Huwezi amini bado wana kanisa Lao la walokole wana.kisanya sadaka na kizunguka kwenye mkongamano.. Yaan amefanikiwa kiwa hadaa watu wengi sana.. ila ukoo wake na ukoo wetu wenyewe wana mjua na misiba ikotokea wana muogopa hata kukaa naye kiti kimoja maana amekuwa kama Pepo..

Najiuliza Sana Uvumilivu Wa Mungu kudhiakiwa huku ana utoa wapi.. Yaan dah
. Mtu aki kwambia ni mlokole ogopa sanaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu pole sana. Kama ilivyo Mungu akamwambia Ibrahimu atoke nchi ya baba zake aende mbali huko akaishi...basi na mm nakuasa ndugu yangu kimbia mbali ww na ndugu zako mkaishi. Na usiruhusu mtu wa aina yyte kujua unayoyafanya. Uchawi una formula hauwezi kukupata kama hakuna baadhi ya facts au dondoo moja mbili tatu kukuhusu.
 
Hahaahahahaha

Mateso yako yamesimamia sehemu ndogo sana watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa....

Yaani hayo malaana na makosi yote yameanzia kichwani kwenu kuna namna mnaongea na kujinenea laana.

Nimesoma uzi wako una laana zakutosha,ukijiilaani na kulaani familia yako na imagine kama tokea mdogo ulikuwa una mawazo hayo basi kifungo chako ni kikubwa sana hata waganga hawawezi kukitoa wala Mungu.

Niamini mimi MMEJILAANI mtu yeyote anayejua jinsi mikosi na laana inavyofanya kazi ukimpa asome uzi wako atajua moja kwa moja mmejilaani tokea zmn,kabla ya kulaaniwa na mtu mwingine....

Kifungo chenu Kinahitaji maarifa kwanza kabla ya kumuomba Mungu yaani nyie hata mkisugua goti kumuomba Mungu ,Mungu atakuwa anasikitika tu lakini hawezi kuwatoa hapo maana mmeingia gerezani wenyewe hlf mlango wa kutokea upo wazi na mnaujua sababu ndo mlioingilia lkn hamna aliyetayari kutoka bali mpo busy kumuomba Mungu.Sasa Mungu anawashangaa nimewapa akili hamuoni mlango mlioingilia gerezani upo wazi,kwanini msitoke gerezani???

Mungu kutupa akili alijua kuna vitu hatatusaidia kabisa...

Laana,bahati na mikosi zinafanya kazi kwenye formula moja.

Hapo mwanzo kulikuwa na NeNo nalo Neno lilitoka kwa Mungu nalo Neno ni Mungu.

Mwanzo- ni mwanzoni kwa kila kitu
Neno-linatoka kinywani
Mungu ni muumbaji

Ikiwa kabla hakijaumbwa kitu lilianza neno hata Mungu mwenyewe alitamka mambo yakawa.

Kwahiyo neno(unalotamka) lina nguvu ya kuumba(maana linatoka kwa Mungu) nalo ni Mungu(muumbaji).

Waislamu wanasema unachomuomba Mungu ndo anachokupa sasa ukiomba laana na kukiri laana kupitia maneno basi neno ni Mungu(muumbaji).

Tokeni huko gerezani kwanza msipoteze mda.

Kuhusu Mungu kutosikia maombi yenu ni sahihi kabisa hapaswi kusikia maneno yenu kwanza ayasikie ya nini maombi yenye machukizo.Kama huna IMANI na Mungu ni bora usimuombe Mungu.

Huwezi kusema Mungu nisaidie nilale usiku wachawi wasiniloge Amen halafu unasikia paka analia usiku unaanza kuogopa sasa kitendo cha kuogopa ni ku prove nguvu ya Mungu uliyemuomba si kubwa kupita Nguvu ya wachawi “DOUBT” hapo ume doubt nguvu ya Mungu hlf hapo hapo unataka ikusaidie HAPANA haiwezekani.Umeshindwa kukubali Ukubwa wa Mungu basi hawezi kukusaidia...

Kwenye uZi wako umeanzA ku doubt km Mungu anawakusikia na Kama ulikuwa una doubt hivyo toka zmn nikwambia tu “Ulikuwa unampigia kelele si ajabu aliwa MuTe familia nzima mzipigie kelele”

Ubarikiwe nimepata kitu hapa
 
Hii dunia kuna watu wameificha matakoni😭 yaan wao ni kuwanga tu kuharibu maisha ya wengine only god can help you
 
Kutojishughulisha nako ndio sababu unafikiri utaletewa hela nyumbani bila kufanya kazi Kuna familia goigoi hakika hazitafanikiwa milemile ukweli ndio huo mnataka kumtegemea mtu mmoja alete pesa ndio mle
 
Hii yakutojishughulisha imetoka wap?? wap umetuona hatujishughulishi?? Ndugu umetumwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa ya Moto Ni moto mkuu...Hawa jamaa wanatesa Sana. naelewa Sana maumivu yako,wengi wetu tumerudishwa nyuma Sana na Hawa mbwa,ukizaliwa na wachawi ukaishi bila kujiongeza hutoboi.watu wanaongea tu simple sababu hayajawakuta...Pole sana mkuu natumai ushapata pakuanzia
 
Thanks bro.. Kuna wanaofanya mdhaa wakidhani ninayo yaongea ni just a talk.. kwa kuwa hawajakutana na Watu wagiza kwenye familia zao.. hawamuona shetani anavyotesa live .... ila nimeshughudia mengine hata siku yaweka kwenye andiko langu maana akina tomaso ni wengi na wanajua kukejeli sana.. Ipo siku Mungu ata waonyesha kwa vitendo ili wapate kujua uhalisia Giza na Nuru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maumivu yangu katika maandishi

Unaweza zoea "ukiwa" katika maisha yako kiasi kwamba ukiona mtu anacheka unajiuliza hivi huyu yupo dunia ipi?

Guys, kuna maisha na kuna mapito. Kuna laana na kuna kuchukiwa. Siku zote usiombe Mungu akachukia familia yako wala asitie laana kwenye familia yako maana

Kuna kusaga meno na kuna kulia machozi ya damu

Kuna kudharauliwa na kutemwa mate

Kuna kushushwa kabla huja jishusha

Balaa zaidi nikukutana na watumishi fake wanao taka kutumia mateso yako kukutoa hela kwa kivuli cha mungu kawaagiza utoe sadaka flani ili akusamehe. Amini nakuambia usiombe usiombee!

Utashughudia hatua za maendeleo ya wenzako na wewe utakuwa ngazi ya kukanyagiwa wawo wafike juu. Ogopa sana hasira za Mungu. Ogopa sana maana hata usali na kutubu vipi kama asha piga muhuri wa mateso katika uzao wenu utaomba aridhi ipasuke.

Kuna wakati huwa najiuliza mara yangu ya mwisho kuwa na tabasamu la kweli usoni mwangu ni lini, wala sikumbuki nalitafuta sana jibu katika kipindi cha miaka mingi nyuma silioni, kile ninaweza kiona kwangu ni huzuni, ukiwa, maumivu ya moyo, maisha ya siyo na ladha, kutengwa, kufungiwa gereza kuu la ajira, mikono yangu kuwa locked na pingu isifanye biashara.

Mifuko yangu imetobolewa isikae na hela, hisia zangu zime kuwa diluted na chuki usipende wala kupendwa. Macho yangu yamekuzwa nishughudie maendeleo ya wengine na akili yangu imefungwa isifanye chochote katika dunia.

Kila nisalipo naona kabisa sala zangu hazina nguvu wala hazi mfikii muumba. Nikiwaza ukiwa wangu tangu nikiwa na miaka 3 mpaka nafikia utu uzima huu, najiuliza ikiwa tuna ambiwa mungu halali wala hafungi macho ilikuwaje mimi na ndugu zangu tukayapitia yote yale na mpaka sasa nayapitia haya yote?

Huwa najiuliza maswali ya wapi jicho lake lilipo kuwa hata mimi na ndugu zangu tuka yapitia yote haya? Najiuliza ule mpango wa wenye hila kutudhulumu haki yetu ya amani hapa duniani na kumuuwa baba na kaka yangu mkubwa, na bado wameendelea kuangamiza ukoo wa baba yangu, je! Mungu hakuona? Bila shaka aliona je! Ukimnya wake kwa miaka yote hii 30 ni kwamba haoini mateso yetu?

Je, yanayoendelea mpaka sasa hayaja mguswa kutoa adhabu yake kwa wahusika? Je, kama kuna kisasi cha Mungu cha adhabu kwetu, let' say kwamba mababu zetu wali muudhi akaachia laana ikaja kwetu sisi wa kizazi cha 4, je katika kulia kwetu na kuomboleza bado adhabu hizo za mababu hazi sameheki kwetu?

Je, hawa wanao tumia uchawi kutesa familia nzima na bado wana raha katika maisha yao na bila aibu wana jisema wazi wazi kuwa wata mmaliza yeyote atakaye inua mdomo kudai haki au kuulizia kifo cha baba mzazi, je hawa wame mpa nini mungu ata awafanye watabasamu na kuishi katika nyumba yetu?

Je, inatupasa tuishi kwa kulipiziana kisasi kwa kuwa haki kwa mungu haipatikani? Je, na mimi nikibuni mbinu yangu ya kuwaangamiza wale wanao wafanya ndugu zangu kuwa vichaa na kuuwa wengine, mungu ata nilinda kama anavyo walinda wale? Je huu uchawi unao tumika kuuwa wasio na hatia umepewa baraka na maandiko? Kama jibu ni hapana mbona maandiko yana sema usimuache mchawi aishi ila hawa wanaishi na kila mwaka wanauwa na kutesa watu kwa magonjwa, je hayo maandiko hayatendi kazi kwa ulimwengu wa sasa?

Kuna mengi sana nimejiuliza bila kupata majibu sana sana naogopa kuishia kumkufuru mungu wangu, ila naamini sistahili haya nipitiayo sasa, kwa kuwa nimeshughudia baadhi ya watu mbali mbali wakifanya kufuru na ushirikina mkubwa ambao mm sikusubutu hata kuya waza ila wao wana ishi kwa mafanikio na baraka za kila wafanyacho, ila uzao wa mama yangu umekuwa na mateso makali tangu utotoni mwao na bado wanataabika mpaka leo hii, na ukitafuta kikubwa walicho mkosea mungu hukioni.

Namuomba mungu sana kabla ya kufa kwangu angalao anifungulie kosa langu na ndugu zangu ni nini nipate amani maana nimetafuta tangu tukiwa na miaka mi3 ni mateso katika hii dunia, najaribu kuwaza ndugu zangu kwa mri ule walimkosea nini mungu hata aruhusu wawe mateka wa nguvu za giza, mateso yao kwa miaka yao yote mpaka sasa! Sina maana ya kupinga kazi ya mungu ila nautafuta ukweli wa fedhea hizi katika familia mauwaji, dhuluma na kusoma na kukosa kazi, biashara haziendi, kuchukiwa kwetu na kudharaulika.

Natamani siku moja niandike kitabu cha mapito yangu ya adhabu ya laana za mababu zinavyo ni andama mm wa kizazi cha 4.

Watu wajifunze kuwa hata ukiwa mwema kwa Mungu kama kuna muhuri wake ulifanyika juu ya kizazi chenu huta epuka muhuri huo.

Kuna familia zina laana ya asili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom