BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Japo jina lina ukakasi kidogo, lakini sioni ni kwa vipi imeweza kumpandisha hasira hadi kufikia ugomvi wa kiwango hicho. Ninachokiona ana mashaka na mienendo yako tangu mda mrefu na hii ni sababu tu ya kutoa kile kilichoujaza moyo wake. Kaa chini tafakari safari ya maisha yenu. Ugomvi mkubwa mpaka wa kupelekana kwa mchungaji hauwezi kuletwa na jina "Madam". Kuna sababu iliyobackground. Ichunguze
Hahaha eti 'Madam'. Bora hata ungemuandika kwa jina lake kabisa, maana hakuna tofauti.
Eti Madam kawa mwalimu wa chekechea huyo?
Mwambie asi-complicate mambo na kufanya maisha kuwa magumu bila sababu......
Kama ukiamua kuchepuka umsave mrs, madame, darling nk nk au kwa jina lake bado utachepuka tu
Ila hapo kwenye simu nzuri usipomthamini mkeo kwa vitu vizuri unataka kumthamini nani??? Ni aibu iwapo unatumia s6 wakati mkeo yupo kwenye kisimu cha tochi... (au humpi mkeo vitu vizuri ndio maana anahisi anaibiwa????)
Anyway....kufanya maisha kuwa rahisi...mtake radhi kisha msave mrs ili roho yake itulie
Ushauri mzuri, mara kadhaa ukimpa zawadi anagawa, nishashindwa hili
Hahaha hivi hilo ni tatizo?
Binafsi hata akinisave kwa jina langu sina wasiwasi hata sishtuki
Weeh! Hukawii kuja humu na Id mpya uanze kusema hatuko romantic. Nyie bana hata si kuwachezea.
Hahahah
Nadhani hiyo phase ya majina nilishaivuka aisee
Hata sishtuki....
Mradi ananipenda mpaka naenjoy inatosha....
Ye mbona kamsave mwenzie vibaya hivo, nkisave panya road nnahakikisha nae anajua nlivomsaveNimecheka sana,,siku ndo itokee akushtukie nadhani talaka itakuwa haiepukiki..Labda uwe Mama Slaa.