Wenye ndoa acheni tamaa

Pole sana aisee, hapa itakuwa ulitandikwa changa la macho, pole sana aisee sasa jamaa sijui alifanikiwa? Anyway usijali mama, huwa yanatokea maishani hayo na wewe si wa kwanza........
hahahaaa hakuna alotandkwa changa la macho na nilishaapa mume wa m2 simtaki asilani abadani coz manunguniko na machozi ya mkewe hayatatoka bure ndugu yangu,vijana single wapo kibao so nabaki kuwashusha heshima coz nao hawajiheshimu

Tatizo liko kwa wanawake wanapenda sana kuolewa na hapo wanaume wanatumia chance hiyo kuwapata. du yamekukuta nini wangu?

hapana rafiki ndio nayokutana nayo ofcn bt cjamkubali wala kufikiria kumkubali hata mmoja wao.mume wa m2 sumu

Poleeee mtoto mzuri...usijali utapata ambaye yuko single and free to mingle

Poleeee mtoto mzuri...usijali utapata ambaye yuko single and free to mingle

Mbna ninae wangu jamani wala sina wasi ndugu yangu na ndio maana hawa majibaba nawashusha heshima

bryleen; Walai wanaume hasa wenye ndoa mnaboa kweli yani huoni hata aibu kumfata msichana unamtongoza afu unamdanganya eti ntakuoa wakati tayari una pete kubwa kidoleni afu ukimwangalia mkewe huwezi hata kujilinganisha alivyo wa ukweli khaa acheni kutufanya tambala la mlangoni kufutia miguu!

Siyo wanaume tu mbona hata wanawake walioko kwenye ndoa wanatembea na wanaume ambao hawako kwenye ndoa ? Utasemaje katika hilo?. Haijalishi ni mwanaume au mwanamke hiyo tabi ipo kwa jinsia zote. Akikufuata mwanaume amabye yupo kwenye ndoa muulize kwanini kamuacha mke wake akutake wewe? Kufanywa tambala bovu uamuzi ni wako maana haulazimishwi.

Mbna ninae wangu jamani wala sina wasi ndugu yangu na ndio maana hawa majibaba nawashusha heshima

nakupa hongera sana mdogo wangu, kwa sababu mume wa mtu huwezi kuwa na raha naye na pia uanglie mtu ambae unafuture naye

Vijana wenzako ulikuwa huwaoni!........ mambo ya kupenda vipoketi money hayo utadhani hamna wazazi.

mkuu kweli hii nimeikubali,hawa vinyea mumo utadhani sie ndo bb/mm zao hapa duniani

Mwenzangu hata cjibani ni kwamba nimemaliza chuo mwaka jana na nipo ofc moja najitolea huku nikiendlea kutafuta ajira huku na kule tatizo wanaume weng wa ofc hii ni wasumbufu balaa ful kutongozwa kila unapokatiza afu wengi waume za w2 unapomjibu anakosa nn kwa mkewe anabk kusema huwezi jua kwanini nakutaka ww sa imetokea leo mmoja kaja na mkewe leo ofcn wa ukweli balaa ndo nikashangaa cz cwezi hata kujilinganisha afu anavyompondaga mpk anaboa!
Kwa mawazo yako unadhani hao wanaokutongoza hapo ofisini wanakupenda?? Usijidanganye hata kidogo, hao ni waonjaji tu hakuna mwenye upendo wa dhati kwako. Ukiingia mkenge baadaye unaanza kulalama na kulaumu utadhani ulilazimishwa au ulibakwa!!

nikawida tu kwa sisi tuliooa, lazima mtu abadili mboga, leo nyama, kesho mchicha, matembele, samaki n.k... Na kwakawaida mboga zinazidiana uzuri ila ni muhimu kubadilisha hivyo usione hatari.

Walai wanaume hasa wenye ndoa mnaboa kweli yani huoni hata aibu kumfata msichana unamtongoza afu unamdanganya eti ntakuoa wakati tayari una pete kubwa kidoleni afu ukimwangalia mkewe huwezi hata kujilinganisha alivyo wa ukweli khaa acheni kutufanya tambala la mlangoni kufutia miguu!

Poleni mlioko kwenye ndoa,ndo maana sina mpango wa kuoa!

Wanawake huwa hawaeleweki, wengine hupenda waliooa eti sio wasumbufu na wengine hupenda single eti full kujiachia, so ishu makubaliano tu!

nakupa hongera sana mdogo wangu, kwa sababu mume wa mtu huwezi kuwa na raha naye na pia uanglie mtu ambae unafuture naye

kweli sisy wangu na mungu anisaidie kuepuka hv vishawishi

Sasa wajameni mtu tayari ana mpete mkubwa (nawe huupendi) mnaanzia wapi kuongea hayo hadi mnafikia diskasheni ya kuoana ..............we bado umeikodolea tu hiyo pete? pole mwaya kweli wakaka wenye ndoa zenu (wasio ruhusiwa kuoa zaidi ya mmoja) acheni kutuharibia wadogo zetu!!!LOL

nikawida tu kwa sisi tuliooa, lazima mtu abadili mboga, leo nyama, kesho mchicha, matembele, samaki n.k... Na kwakawaida mboga zinazidiana uzuri ila ni muhimu kubadilisha hivyo usione hatari.

sio waliooa tu hata walioolewa ni vizuri wabadilishe mboga sio bamia kila siku inachosha

Mwenzangu hata cjibani ni kwamba nimemaliza chuo mwaka jana na nipo ofc moja najitolea huku nikiendlea kutafuta ajira huku na kule tatizo wanaume weng wa ofc hii ni wasumbufu balaa ful kutongozwa kila unapokatiza afu wengi waume za w2 unapomjibu anakosa nn kwa mkewe anabk kusema huwezi jua kwanini nakutaka ww sa imetokea leo mmoja kaja na mkewe leo ofcn wa ukweli balaa ndo nikashangaa cz cwezi hata kujilinganisha afu anavyompondaga mpk anaboa!
Aiseee! Sasa si ungemwambia live huko huko ofisini kwenu? Au yupo huku jf???.. Usimwogope mfikishie huu ujumbe uliouweka hapa... Pole sana!

Similar Discussions

Back
Top Bottom