Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,764
Duniani kama kuna waliobahatika basi wenye mwanya nao wamo, nasikia sijui kama ni kweli, eti wadau wa MMU najua mmpo na elimu ya kiwango cha juu katika mystery hii ya watu wenye mwanya au ni hadithi tu za hapa na pale ila hakuna liae na mwanya ambae nimemuona havutii, they have something spesho.
Hebu mwenye ukweli atuwekee hapa tuelimike, nilichosikia huwa wana mapenzi ya hali ya juu kabisa, sijui humu Jf wamo wadada wenye hiyo sifa?
Hebu mwenye ukweli atuwekee hapa tuelimike, nilichosikia huwa wana mapenzi ya hali ya juu kabisa, sijui humu Jf wamo wadada wenye hiyo sifa?