haha hahha duh
This way unaweza kuandamana against yourself. Watchout:tongue:
kweli bana, haiwezekani mtake miharusi mikubwa huku mwenyewe anachangia elfu50 tu.
Afu unakuta bajeti ya 15 Ml. anataka kila kitu cha kifahari..
Huyo lazima Chadema huyo, isiwe Slaa?