steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,191
- 1,630
Baki wewe..maana hapa ukiishi hata mbinguni unachelewa kufika
Asante brooKuhama ni kawaida kwa kila kiumbe katika ardhi hii, hata wanyama huhama na mimea pia.
Ukipata fursa maadam una nia utafanikiwa tu, jandae tu.
Na kumiliki Range wala isikutie shaka unaweza pia kwani ni ya kawaida sana hata mimi niliitamani nikaamua kumiliki velar na kuiuza tena lakini nilikamilisha ndoto yangu
Penye nia pana njia pambana mdogo wangu ipo siku utafikia malengo
Hali mbayaNaona mmeamua kumkimbia bwana Jiwe
Wabongo wanakatishana tamaaa alafu waoga kujaribuTuwe Serious Wadau Wenzetu Nigeria Hii Wanaitumia Vyema