Wenye majina ya rose!

weeweeeeeeeeeee, ngoma iko kwa akina anitha, maria na esther bana, balaah, naskia kwa krosi hao ni balaa

Acid sijakuelewa maana mimi mke wangu anaitwa Ester nipe zaidi nini hasa, pengine itajua kuwa haya ni ya kawaida
 
acha usukunuku wew
utasutwa
mwone vle ndo mana haukuona ukoo kwenye sinia...
ROSE IZ THE BEST NAME EVER...nambien jina gan halina tatizo mimi nikaitwe ilo?
hahahahaha!
nisutwe tena?
itakuwa the next level of infidelity.....!

mtu anaefanana na kusutwa sutwa ni roya tu
 
Kiukweli kabisa kwa Rose sijawahi kufanya utafiti. Ila nimefanya sana utafiti na kugundua kuwa sijawahi kumfahamu msichana yeyote anayeitwa Lilian akawa ametulia. wote mapepe...
 
aaaaaah jamani...mimi mbona jina langu ni Rose na niko kwenye ndoa miaka 12 sasa na tunapendana sana na mume wangu na wala haijawahi tokea tukatishiana kuachana na wala haitatokea....

ww utakua upo kwnye hiyo asilimia 20 ilobaki.
 
Yesu kristu na babake, anita? uwiiii... wengi wa anita ni wambea hao kama wenye majina ya Pili

Rose ana mambo kama ya hadija au sauda

n'gkiki?

haaaa...wewe wewe...nimecheka mpaka bac Acid..mweh...umenikumbusha chuo kulikuwa na mdada anaitwa sauda na mwanamkac...jamani walikuwa hawaishi kusutwa, mpaka mtu unajiuliza wanapatia wapi muda za ziada wa kusutwa kila kukicha? hawana makoromeo kabisa wagombanishiiii.... hawa yaani mtogoe type.
 
Habari senyu ndugu saaangu?

Napenda kuulisa hibiii? Hao wakolonyi senyu wana roho musuri kama sa kina Rose?

Mbona wanawaachinei mnachakachua sredi namuna hii?
 
Back
Top Bottom