wenye magari wanavyo tutesa

wenye magari wanavyo tutesa

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
400774_3707566647663_1024502772_n.jpg
 
Haaha ha. Huyo driver atkua ameazima gari. Ndio zao izo
 
Hiyo unafanya unapotaka lipiza kisasi kwa haters .......lol
 
Hiyo ni trick.
Jamaa atasimama mbele then anashuka kuomba msamaha anajidai hakumuona.
Anambembeleza anaingia kwa gari.
Anapita dukani anamnunulia nguo.
Anampeleka mahali anabadilisha.

Kwisha habari yake.

Gari ukitumia vizuri ni zaidi ya uchawi kwa watoto wa kike.
 
Ishanitokea march mwaka huu nimetokelezea ile ghafla najikuta nimelowa tope.
 
Umenikumbusha enzi za gazeti la sani lilipokuwa jarida, kuna siku lodi lofa alimwagia matope mzee mmoja, alipofika mbele akakuta taa nyekundu zimewaka. Yule mzee aliyemwagiwa maji akatafuta kopo tupu akachota maji mengi tu kutoka kwenye lile lile dimbwi na taratibu akajongea kwenye gari na kukuta bahati nzuri kioo cha upande wa dereva kiko wazi. Kilichotokea hapo nafikiri utakuwa umepata picha, kwani kwa sekunde moja tu ndani ya gari kuligeuka dimbwi.
 
Inakera sana, mtu umejipiga bling bling anatokea dereva kichaa anakumwagia maji machafu
 
huyo lazima alimuibia mtu wake ndo anamkomesha maana sisi wadada kwa kukomeshana hatujambo!:car:
 
Back
Top Bottom