poa,acha nizunguke nyumanju!mtaa wa nyuma hapo
Hebu tupe picha ya sasa tupaone kama kumeshakuwa kama Dubai ??picha nzuri ila ya zamani kiasi inaweza kuwa 90's.
acha nisogeze chili sosi na pili hapa pembeni!sasa kukata hamu,nitakuwa naugongeshea ugali ktk screen yangu,uku nikimezea ugali na maji...