Wenye Fake ID Tuweke Wazi Majina Yetu.

Na wewe je? Unamfunga kamba mtoa hoja wakati jina lako halisi ni Clementina Kokutona Rushwekaebitashwekwa.

Teh teh teh teh, kaka bishanga UmenichekeshaA hasa hilo jina la kwanza na la mwisho. Umenipa mchana mwema leo.

Vp umekula? Twende nikakupe lunch basi.
 
Back
Top Bottom