Wenye Fake ID Tuweke Wazi Majina Yetu.

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,453
20,712
Najua kwa sasa Taifa linapita katika Kipindi Kigumu,hata wale Wadau makini wa Jf wako busy kujadili Maswala yanayo likumba Taifa kwa wakati huu.Hivyo basi sio vibaya kupoza Akili kwa kujadili hoja Nyepesi inayohusiana na hiyo Title hapo juu.Wadau wenye ID Fake tupo wengi sana hapa Jf.Pia nimegundua most of JF real GT ni wale wenye ID Fake,hawa jamaa baadhi yao wako makini sana.Unagundua umakini wao hasa pale unapo soma Michango yao mbalimbali hapa Jf.Kuna wakati natamani niwafahamu kwa Majina yao halisi.Naanza na mimi mwenyewe Kadoda11 kwa kutaja Majina yangu halisi Matatu.Naitwa Dhaifu Liwalo Naliwe.Haya wewe pia unaitwa nani?.Majina yako matatu Tafadhali.
 
Nimesema Kaa Chini

mkuu kabla sijakaa chini naomba nijitambulishe,kwa jina halisi naitwa NIUPEPO TU UTAPITA,nime oa nyumba moja na Invisible kwa mke wangu wa kwanza anaye itwa SITAKI MWONGOZO a.k.a bi kiroboto,mi ni ukoo mmoja na MZEE MAMVI,ambaye alihama pale kwa kushinikizwa akamuachia yule mzee anaitwa LIWALO NA LIWE ambaye alikua mlima mahindi,na yule MZEE WA MEGAWAT ni mjoba wangu yaan tumbo moja na,na nanii..ha nimesahau,yule wa Kufumaniwa anaitwa LIONEchawene
 
wananchi wanatuangalia tunavyozungumza tutanyimwa ulaji oooh!
 
Back
Top Bottom