Unaongea usilo lijua mkuu...kuna binti alipata division one ya point 9 aliomba udom MD,pharmacy, nursing kozi zote amekosa....first & second batch sasa unavosema ivo nakua sikuelewi....lakini mungu kamsaidia amepata st.john
Mkuu nichek WhatsApp +255625697394Mwaka jana kuna dogo nilimfanyia application akapata UDSM akiwa na III:15
Mkuu 15 wanachukua?Ndio.
Zanzibar University. Na boom la serikali ya mapinduzi, halina longolongo!
hahahahahahUfagizi
ahaaa ni kwel yupo jamaa yangu ana CEE kachaguliwa saut...Ishu sio division je una 4 points katika masomo mawil
kuna chaliii yangu alipata div iv ya points 15,amechaguliwa kampala mwaka huu
Yah hawaangalii division ishu ni point 4 katika masomo mawiliahaaa ni kwel yupo jamaa yangu ana CEE kachaguliwa saut...
Teh teh teh[emoji23]Ungeomba mucobs, jordan university, teofilo kisanji, ila shida wanapigiwa kengele na kuna zamu za usafi
Sehemu kubwa ya walioko vyuoni wana division III kati ya pointi 13-14!!! Ujue kuwa kila mwaka wanaoingia vyuo vikuu ni takribani 60,000 lakini waliopata div I&II hawazidi 20,000. Kwa hiyo zaidi ya 40,000 walipata III na wengine wameingia kwa sifa za diploma.Khabar za masiku wana jamvii, nimepata tetes kuwa kuna baadhi ya wanafunz waliopata div 3 wamepata chuo kwa ngazi ya degree,
naomba majina ya hivyo vyuo na mm nitume maombi.
Asante
Usijidanganye jina la chuo kukubeba mkuuNilekebishe kidogo mkuu kama nimekosea sehem,huwa napenda kujifunza zaidi na huwa sipendezwi na mtu anaejivuna kwa kitu alichajaaliwa na mwenyezi MUNGU,
Hadi kiandika mkuu?Yeah ntalifanyia kazi ilo,na nikweli iko nikitu kinachonisumbua sana katika hali ya kawaida,but ntajitahidi kufanya ivyo mkuu,
Umeona kama binaadam tumeumbiwa kusahau ama kukosea?sasa hapo ni kiandika ama kuandika?
Kesi yangu ni tofauti na yako hiyo ni typing error ila nakuuliza ww kuchanganya L na R kwenye kuongea inaweza ikawa sawa lakin hadi kuandika huwa inakusumbua mkuu au u afanya makusudi tuUmeona kama binaadam tumeumbiwa kusahau ama kukosea?sasa hapo ni kiandika ama kuandika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inanisumbua kweliKesi yangu ni tofauti na yako hiyo ni typing error ila nakuuliza ww kuchanganya L na R kwenye kuongea inaweza ikawa sawa lakin hadi kuandika huwa inakusumbua mkuu au u afanya makusudi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sa sijui unamisaidiaje mkuuKesi yangu ni tofauti na yako hiyo ni typing error ila nakuuliza ww kuchanganya L na R kwenye kuongea inaweza ikawa sawa lakin hadi kuandika huwa inakusumbua mkuu au u afanya makusudi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi na wewe kwenye kuongea hiyo "WW" ndio kitu gani?Kesi yangu ni tofauti na yako hiyo ni typing error ila nakuuliza ww kuchanganya L na R kwenye kuongea inaweza ikawa sawa lakin hadi kuandika huwa inakusumbua mkuu au u afanya makusudi tu
Sent using Jamii Forums mobile app