sanahimogita
Member
- Oct 8, 2017
- 94
- 71
Umesema kweli Mkuu,Mkuu chuki kama hii Kama ingekuwa mimba, ungezaa Adolf Hitler..!
Hyo ni uongo watu wamepelekwa mpaka round ya tatu na div2 tena wameapply edcnUDOM wamezoa balaa... yaan ingekuwa ni amri yao wangechukua hata div IV
Una akili timam?Hafuatilii taarifa za habari, hizo faculty zote zimefutwa huko UDOM
Hafuatilii taarifa za habari, hizo faculty zote zimefutwa huko UDOM
Udom ni one ya 7 boi na muhimbili n one ya 6.huyu kafeliUnaongea usilo lijua mkuu...kuna binti alipata division one ya point 9 aliomba udom MD,pharmacy, nursing kozi zote amekosa....first & second batch sasa unavosema ivo nakua sikuelewi....lakini mungu kamsaidia amepata st.john
Yani mwny dd kapenya ila ce hapana boiTtzo unayo sifa yaani D,D au C,E
MUHAS ni one ya sita mwishoCapacity ya course unaijua?? Na wengi walioomba hapo MD hawawezi kupata MUHAS ndio maana waliona kimbilio lao kuu ni hapo...
Diplomakuna chaliii yangu alipata div iv ya points 15,amechaguliwa kampala mwaka huu
Mi mwanafunzi mtarajiwa wa udsm lakn huwa sikubaliani kabisa na wale wanaokiponda chuo cha udom,naamini ubora wa chuo ni products zake,so kama chuo kinatoa products nzuri hakuna ubaya apo,sema wengi wamekalili kwamba udsm tu ndo wanatoa products nzuri,naamini kuna baazi ya watu wanatoka vyuo vingine na wapo vizuri kuliko hata wa udsm,but japo sometimes vyuo bora vitabaki kuwa bora bcoz huwezi fananisha chuo kama udsm au udom na chuo kama Stella maris ata mnapoenda kwenye soko la ajira mana mdamwingine jina na ukubwa wa chuo humbeba mtu.Umesema kweli Mkuu,
Alaf Mara nyingi ukifatilia wanaoponda UDOM ni wanafunz wa UDSM, vyuo vingine ni Mara chache sana.
Hii hua inanishawishi kuamini kua hicho chuo kinakuja juu sana ndio maana waliokua bora enz hizo wanaumia na kuchukia kuona kuna wengine wako vzr na wanakua vzr zaid yao
Alafu ukisoma comments zao zote hua hawatoi hoja zaid ya matus, na wakitoa hoja ni hoja za kusadikika/kubuni na zisizo na uthibitisho
Apo huyo bwana nimemwambia huyo bwana anipe hoja aliyonayo kuthibitisha ubovu wa UDOM,
Subiri uone atakachoandika.
Udsm kuna watu wamepataKhabar za masiku wana jamvii, nimepata tetes kuwa kuna baadhi ya wanafunz waliopata div 3 wamepata chuo kwa ngazi ya degree,
naomba majina ya hivyo vyuo na mm nitume maombi.
Asante
Huu upu....hujui unachoandika...Udom ni Chuo kikuu cha Kata mradi Uwe mtanzania kinachukua
Muhas n niniCapacity ya course unaijua?? Na wengi walioomba hapo MD hawawezi kupata MUHAS ndio maana waliona kimbilio lao kuu ni hapo...
Maksi hazikumtosha kwenye ushindani s bahatMpaka UDOM kakosa hanabahati
Amepata pharmacy hapo st johnUnaongea usilo lijua mkuu...kuna binti alipata division one ya point 9 aliomba udom MD,pharmacy, nursing kozi zote amekosa....first & second batch sasa unavosema ivo nakua sikuelewi....lakini mungu kamsaidia amepata st.john
Ndugu hivo ni vyombo gani vilivyosema faculty inafutwa??Hafuatilii taarifa za habari, hizo faculty zote zimefutwa huko UDOM
ulichoandika ni.................. ipp kabisaMi mwanafunzi mtarajiwa wa udsm lakn huwa sikubaliani kabisa na wale wanaokiponda chuo cha udom,naamini ubora wa chuo ni products zake,so kama chuo kinatoa products nzuri hakuna ubaya apo,sema wengi wamekalili kwamba udsm tu ndo wanatoa products nzuri,naamini kuna baazi ya watu wanatoka vyuo vingine na wapo vizuri kuliko hata wa udsm,but japo sometimes vyuo bora vitabaki kuwa bora bcoz huwezi fananisha chuo kama udsm au udom na chuo kama Stella maris ata mnapoenda kwenye soko la ajira mana mdamwingine jina na ukubwa wa chuo humbeba mtu.