sanahimogita
Member
- Oct 8, 2017
- 94
- 71
Hicho chuo mnakisema vibaya mtandaoni lkn mm kila nikifatilia nakuta ndio the best growing University in East and Central Africa.UDOM wamezoa balaa... yaan ingekuwa ni amri yao wangechukua hata div IV
Ndio.Khabar za masiku wana jamvii, nimepata tetes kuwa kuna baadhi ya wanafunz waliopata div 3 wamepata chuo kwa ngazi ya degree,
naomba majina ya hivyo vyuo na mm nitume maombi.
Asante
Unazungumzia UDOM ipi?? hii tuijuayo wote hapa jamvini..?? Wahitimu wake % kubwa hawawezi kucompete na wenzao wa vyuo vingine.. ilifikia hatua na hata mwaka huu nimewahi ona tangazo wanataka AUDITORS kutoka MZUMBE BAF AU UDSM BCOM.. UDOM wanasoma BCOM lakni hawatakiwi hapo... pia makazini ukiondoa waalimu ambao walikuwa wanaajiriwa direct wanatemwa kwenye sahili nyingi sana.. hii tu inatosha kujua ni kwa kiasi gani chuo hakiko vizuri katika kuwandaa wanafunzi wake katika soko la ushindani kama wafanyavyo vyuo kama UDSM, SUA na MZUMBE... Product nyingi za UDOM hazijiwezi kabisa..Hicho chuo mnakisema vibaya mtandaoni lkn mm kila nikifatilia nakuta ndio the best growing University in East and Central Africa.
Na kinatajwa sana na mataifa mengine.
Nikiangalia top five best young Universities (below 15 years) in East and Central Africa naikuta UDOM
Nikiangalia
Large Universities in East and central Africa naikuta UDOM (the first,)
Nikiangalia top five ya Tanzania naikuta UDOM,
Nikiangalia admission nakuta UDOM inaongoza kwa highest enrollment,
Baadhi ya fani kama za education,
UDOM inatajwa kua na best product in East Africa ktk shahada za ualimu.
Top 5 za ualimu East Africa, Tz tuna chuo kimoja tu nacho ni UDOM.
Kiukweli siwez nkataja yote,
Lkn kubwa linalonishangaza ni kua; wakati UDOM ikionekana kuwatisha baadhi ya watu hata wakaichukia, still imekamilika kwa 40% pekee,
Kiukweli natamani nipate hoja kuntu juu ya kejeli zinazotolewa na baadhi ya watu juu ya UDOM, ni criticism zipi wanazozitoa na kwa hoja zipi?
Ningepata jibu la hili perhaps ningeelewa zaidi: Naomba kuelimishwa
Acha kukariri, fanya simple survey upate uhalisia wa UDOM na selection ya mwaka huu. Kweli UDOM ni kikubwa na kinahitaji watu lkn kimezingatia vigezo ndyo maana hata wenye division one wamepigwa chini.Udom ni Chuo kikuu cha Kata mradi Uwe mtanzania kinachukua
Hawaangalii Division Wanaangalia Cut Point, Mdogo Wangu Ana III Ila Amechaguliwa Vyuo Vinne Kati Ya Vitano Alivyoomba Awamu Ya PiliKhabar za masiku wana jamvii, nimepata tetes kuwa kuna baadhi ya wanafunz waliopata div 3 wamepata chuo kwa ngazi ya degree,
naomba majina ya hivyo vyuo na mm nitume maombi.
Asante
Una Cut Point Ya Ngap?nimeomba dipl lkn cjaridhika na coz zenyew
Ilikuwa ni utani tu hata mimi mtoto wangu amepigwa chini na division two yake bahati nzuri amepata Chuo kingineAcha kukariri, fanya simple survey upate uhalisia wa UDOM na selection ya mwaka huu. Kweli UDOM ni kikubwa na kinahitaji watu lkn kimezingatia vigezo ndyo maana hata wenye division one wamepigwa chini.
Course ya georogy
Typing error apo geology
Hamna muccobs siku hizi...Ungeomba mucobs, jordan university, teofilo kisanji, ila shida wanapigiwa kengele na kuna zamu za usafi
Mkuu chuki kama hii Kama ingekuwa mimba, ungezaa Adolf Hitler..!Unazungumzia UDOM ipi?? hii tuijuayo wote hapa jamvini..?? Wahitimu wake % kubwa hawawezi kucompete na wenzao wa vyuo vingine.. ilifikia hatua na hata mwaka huu nimewahi ona tangazo wanataka AUDITORS kutoka MZUMBE BAF AU UDSM BCOM.. UDOM wanasoma BCOM lakni hawatakiwi hapo... pia makazini ukiondoa waalimu ambao walikuwa wanaajiriwa direct wanatemwa kwenye sahili nyingi sana.. hii tu inatosha kujua ni kwa kiasi gani chuo hakiko vizuri katika kuwandaa wanafunzi wake katika soko la ushindani kama wafanyavyo vyuo kama UDSM, SUA na MZUMBE... Product nyingi za UDOM hazijiwezi kabisa..
Mkuu kuambatanisha link kunqzingua kidogo sio mzoefu aiseh
ingia Google search sjut.go.tz au teku.go.tz au Jordan.go.tz info zinapatikana kwenyeenu ya latest info
Hafuatilii taarifa za habari, hizo faculty zote zimefutwa huko UDOMUnaongea usilo lijua mkuu...kuna binti alipata division one ya point 9 aliomba udom MD,pharmacy, nursing kozi zote amekosa....first & second batch sasa unavosema ivo nakua sikuelewi....lakini mungu kamsaidia amepata st.john
Hiyo taarifa ya habari utakuwa uliangalia TBC1 sio bureHafuatilii taarifa za habari, hizo faculty zote zimefutwa huko UDOM
Ndugu, hivi unatambua; ubaguzi ktk maswala ya ajira kwa misingi ya chuo ni kosa kisheria?Unazungumzia UDOM ipi?? hii tuijuayo wote hapa jamvini..?? Wahitimu wake % kubwa hawawezi kucompete na wenzao wa vyuo vingine.. ilifikia hatua na hata mwaka huu nimewahi ona tangazo wanataka AUDITORS kutoka MZUMBE BAF AU UDSM BCOM.. UDOM wanasoma BCOM lakni hawatakiwi hapo... pia makazini ukiondoa waalimu ambao walikuwa wanaajiriwa direct wanatemwa kwenye sahili nyingi sana.. hii tu inatosha kujua ni kwa kiasi gani chuo hakiko vizuri katika kuwandaa wanafunzi wake katika soko la ushindani kama wafanyavyo vyuo kama UDSM, SUA na MZUMBE... Product nyingi za UDOM hazijiwezi kabisa..