Waraka ushatumwa kwa wakuu wa shule juu ya kujiunga na masomo ya advance,sema na Mkuu wako wa shule,waraka wa kujiunga na vyuo vya ualimu nao upo kwenye website ya wizara lakini pia Kawambwa (Mzigo) ametoa tangazo lingine inasemekana form IV wenye div IV hawataenda chuo cha ualimu chochote,ila pia unaweza ukaenda wizarani kamuulize Mkurugenz wa Elimu
Ni kwamba kama ana credit kwenye combination anakwenda advance,hata awe na div IV kwa mujibu wa mwongozosawa mkuu kwa ilo! nimekupata je kwa mtazamo wako unaona uwezekano wa wenye 3 kupangwa na serkali? mfano huyo mwenye 3 ya 27
kumekuwa na sintofaham kwa wale wanafunz waliopata daraja la 3 kama watapangwa na serikali ama la! hii inatokana na maneno mengi ambayo ayana uhakika kutoka kwa wadau mbalimbali. mfano ktk shule moja niliyowahi kufundisha kuna mwanafunzi aliyepata HIST C' GEO C' BIOS C' ENGL B' KISW C' CHEM C' CIV C' MATHS D' PHY D' NA BIBLE C' KWA MAANA HIYO ANA DIV 3 YA 27. JE WADAU NISAIDIEN NIENDELE KUMPA TUMAINI LA KUSUBIRI POST? MCHANGO WADAU
sawa mkuu kwa ilo! nimekupata je kwa mtazamo wako unaona uwezekano wa wenye 3 kupangwa na serkali? mfano huyo mwenye 3 ya 27
jaman na mimi ni miongoni mwa wanafunz hao na nina 3 ya 27 yaan mawazo hapa yamejaa kama hatutachaguliw watakua wametuonea yaan nina C 4 na B 2 Na D 1
ANGALIA Majina JKT AWAMU YA PILI 2014 at WWW.MASWAYETU.BLOGSPOT.COM
utachaguliwa kwenda kidato cha 5 km comb zimebalance,wale ambao hawana 3 credist na comb hazijabalance ndo watapelekwa vyuo vya ualimu
Hakuna mwenye iv iliyobalance kwasababu hata wenye 3 kuna ambao hazijabalanc
Hakuna mwenye iv iliyobalance kwasababu hata wenye 3 kuna ambao hazijabalanc
Haswa tena wa wanao! ila chekechea
Wapo wenye div 4 na wamebalance