Tatizo watu mnaogopa kusoma thread ndefu--humu jamvini nimeshaweka uchambuzi wa matokeo ya form IV 2013! In short, kama ingetumika 2012 grading system, C zote, narudia, "C" ZOTE za 2013 ni D, Likewise most if NOT ALL Div III ni Div IV! So, ikitokea Div III hawachaguliwi Form V, basi ni sahihi kabisa!