wenye div 3 hawaendi kidato cha tano

uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
1,735
2,000
kumekuwa na sintofaham kwa wale wanafunz waliopata daraja la 3 kama watapangwa na serikali
 
Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
14,605
2,000
Waraka ushatumwa kwa wakuu wa shule juu ya kujiunga na masomo ya advance,sema na Mkuu wako wa shule,waraka wa kujiunga na vyuo vya ualimu nao upo kwenye website ya wizara lakini pia Kawambwa (Mzigo) ametoa tangazo lingine inasemekana form IV wenye div IV hawataenda chuo cha ualimu chochote,ila pia unaweza ukaenda wizarani kamuulize Mkurugenz wa Elimu
 
sawa mkuu kwa ilo! nimekupata je kwa mtazamo wako unaona uwezekano wa wenye 3 kupangwa na serkali? mfano huyo mwenye 3 ya 27
 
Kaparo

JF-Expert Member
Sep 7, 2013
1,648
2,000
kumekuwa na sintofaham kwa wale wanafunz waliopata daraja la 3 kama watapangwa na serikali ama la! hii inatokana na maneno mengi ambayo ayana uhakika kutoka kwa wadau mbalimbali. mfano ktk shule moja niliyowahi kufundisha kuna mwanafunzi aliyepata HIST C' GEO C' BIOS C' ENGL B' KISW C' CHEM C' CIV C' MATHS D' PHY D' NA BIBLE C' KWA MAANA HIYO ANA DIV 3 YA 27. JE WADAU NISAIDIEN NIENDELE KUMPA TUMAINI LA KUSUBIRI POST? MCHANGO WADAU

Jifunze kuandika kichwa cha habari kiendane na maudhui yaliyoko kwenye taarifa/habari!
 
Hamud Nassor

Member
Jul 9, 2013
18
0
jaman na mimi ni miongoni mwa wanafunz hao na nina 3 ya 27 yaan mawazo hapa yamejaa kama hatutachaguliw watakua wametuonea yaan nina C 4 na B 2 Na D 1
 
Mshirazy

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
421
0
sawa mkuu kwa ilo! nimekupata je kwa mtazamo wako unaona uwezekano wa wenye 3 kupangwa na serkali? mfano huyo mwenye 3 ya 27

kwanini asichaguliwe kidato cha 5 ilhali combination imebalance na amepata 3 credits?
 
Mshirazy

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
421
0
jaman na mimi ni miongoni mwa wanafunz hao na nina 3 ya 27 yaan mawazo hapa yamejaa kama hatutachaguliw watakua wametuonea yaan nina C 4 na B 2 Na D 1

utachaguliwa kwenda kidato cha 5 km comb zimebalance,wale ambao hawana 3 credist na comb hazijabalance ndo watapelekwa vyuo vya ualimu
 
BA' NICK

Member
Dec 3, 2013
34
70
Mwambie aende akasome diploma ya medicine 3yrs kulko F5! kumekuwa na sintofaham kwa wale wanafunz waliopata daraja la 3 kama watapangwa na serikali ama la! hii inatokana na maneno mengi ambayo ayana uhakika kutoka kwa wadau mbalimbali. mfano ktk shule moja niliyowahi kufundisha kuna mwanafunzi aliyepata HIST C' GEO C' BIOS C' ENGL B' KISW C' CHEM C' CIV C' MATHS D' PHY D' NA BIBLE C' KWA MAANA HIYO ANA DIV 3 YA 27. JE WADAU NISAIDIEN NIENDELE KUMPA TUMAINI LA KUSUBIRI POST? MCHANGO WADAU[/QUOTE]
 
kiwatengu

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
15,244
2,000
Hakuna mwenye iv iliyobalance kwasababu hata wenye 3 kuna ambao hazijabalanc

Nakumbuka mwaka jana, shule za Advance(serikali) zilikosa wanafunzi ikabidi wabebe na wale ambao comb. hazikubalance.
Mwaka huu pia sidhani kama kuna mwenye div.iii with balance of.combination atakaeachwa.

Bado shule za serikali za A level ni nyingi ukilinganisha na ufaulu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom