Tatizo liko wapi? What's the big deal about B-Com or LLB?hatimaye Tanzania aft 5 yearz to come watu wenye degree hawatapata ajira wataishia kufundisha shule na nchi itakuwa pabaya hi ni kutokana na output ya graduates kwa wingi

Aaaa,walimu tunapeta tuuuu,,,,,,namshukuru mungu sikupata shida saana kuanza mchakato wa kuichangia kodi serikali

hatimaye Tanzania aft 5 yearz to come watu wenye degree hawatapata ajira wataishia kufundisha shule na nchi itakuwa pabaya hi ni kutokana na output ya graduates kwa wingi
Tatizo liko wapi? What's the big deal about B-Com or LLB?
Mbona kuna wenye PhD za fani nyingi tukuna wenye PhD za fani nyingi tu na wanafundisha high school?

hatimaye Tanzania aft 5 yearz to come watu wenye degree hawatapata ajira wataishia kufundisha shule na nchi itakuwa pabaya hi ni kutokana na output ya graduates kwa wingi

Tatizo kama hili liliikumba Nigeria miaka ya late 1980's ilianza kutoa output kubwa ya graduates kuliko uwezo wa kuajiri. Matokeo yake ni utapeli, unabii wa uongo, usanii wa kujiaibisha kama vile comedy, uuzaji na utumiaji wa MIHADARATI a.k.a NDUMU bin GANJA, n.k.
[/SIZE]
[/COLOR]hapo nimebishaaaa......................huh