Wenje ajikosha bungeni!

Wenje ajikosha bungeni!

Jitahidi kupika propaganda upate kitu pale Lumumba
Hivi Mchaka Mchaka una taarifa kuwa huku Avetari yako inatumika kinyume na kawaida?...au ni wewe mwenyewe!

  • Senior Member Array

    Join Date : 17th January 2010
    Posts : 232
    Rep Power : 522
    Likes Received207
    Likes Given106

Wabunge wa CHADEMA siku za hivi karibuni wamekuwa kama wamechanganyikiwa vile.

Hivi kuna wabunge waliochanganyikiwa zaidi ya Wabunge wa CCM?
Kama hujui hebu nikujuze kwa uchache tu matukio ya Wabunge wa CCM yene kuonesha kuwa CCM si tu wamechanganyikiwa baali wamekuwa VICHAA!

  1. Wabunge wa CCM ndio wenye lugha chafu na matusi Bungeni na nje ya Bunge. Kauli kama siongei na MBWA naongea na mwenye Mbwa(Juma Nkamia),Fu***k you(Serukamba);Unawashwa nini(M/kiti wa Bunge);CDM ni magaidi niko tayari kutoa ushahidi hata mbinguni(Mwigulu Nchemba).
  2. Wabunge wa CCM ndio wanaongoza kwa kuzomea zomea na kuchapa usingizi Bungeni.
  3. Wabunge wa CCM ndo wanaongoza kwa kuunga mkono hoja kwa asilimia 100 ilhali wanajua ni UONGO.
  4. Wabunge wa CCM ndo wanaongoza kwa rushwa,uongo,unafiki na ubabaishaji Bungeni.
  5. n.k.
 
hii ni post ya lunch, watu kupata ela, hizi mada pendwa zipo nyingi siku hizi, nashauri tuweke habari za kina na zile za kuwa na tija, sasa mleta uzi unaandika mambo ya ajabu, matusi umo umo napata mashaka na upeo wako, hivi ndo lugha ya chama chenu kwenye mawasiliano? mnakera na hizi mada za dakika tano tano. nakumis sana HUTAKI HUNAACHA na wengine wenye kuweka mada za tija.
 
Wana hesabu graph ya chadema vs ccm as time++ ipi ipo ktk +ve na -ve?jibuni hapa msiogope
 
Mkuu ukumbuke kuwa ZITTO hakubaliki na hili kundi linaloongozwa na NASSARI, WENJE, BEN SAANANE, SUGU na wengine, so Wenje alichokifanya ni kutaka kumuonesha ZITTO kuwa hawako pamoja naye.

lema anahusika hapa
 
Kama unafikiria kwa kutumia kichwa utagundua kuwa CHADEMA wanastahil PONGEZI na ukizingatia hal ya kisiasa wilayan iramba,lakin kama unafikiria kwa kutumia makalio{ashakumu si matus} utagundugua kuwa CCM wanastahil pongez.., lakn naomba nitoe daarasa kwa wale wanafikir kuwa ccm wamepata mafanikio kwenye ule uchaguz kiukwel ukifanya tasmin ya kisayans utagundua ku wa, ccm kwa mara zote wamekuwa wakishnda kwa asilimia 99.8 lkn juz wameshinda kwa asilimia 69.7, sasa sijui hi inaashiria nn.? Sasa nijukumu lako kutumia ubongo kufikiria na utagunda ni nan astahil pongez..?

Tatizo la CDM walitumia nguvu nyingi sana mpaka mfuwasi wa CCM walimuuwa ,na kesi ipo mahakamani na kuna viongozi wao wapo ndani, kwa shitaka la mauwaji,hata wakili wao sasa hatokei mahakamani yani wanawatumia wafuhasi wao kama kondom wakimaliza haja zao wanatupa.
 
hii ni post ya lunch, watu kupata ela, hizi mada pendwa zipo nyingi siku hizi, nashauri tuweke habari za kina na zile za kuwa na tija, sasa mleta uzi unaandika mambo ya ajabu, matusi umo umo napata mashaka na upeo wako, hivi ndo lugha ya chama chenu kwenye mawasiliano? mnakera na hizi mada za dakika tano tano. nakumis sana HUTAKI HUNAACHA na wengine wenye kuweka mada za tija.

Who are you to set rules in JF?

Inaonekana hujui broader meaning ya politics?

Sio kila kitu kwenye siasa lazima kielezee namna ya kutumia raslimali, kukuza uchumi na ajira! kuna kitu kinaitwa propaganda, na kina kubalika kwenye siasa.

Wito wangu kwako na kwa watu wavivu wa kusoma kama wewe, huwe unakaa kimya, kuliko kuongea na kuonyesha kiasi cha upumbavu ulicho nacho.
 
Hatimaye matokeo kamili ya uchaguzi wa vijiji na vitongoji uliofanyika wilayani Iramba yametangazwa.

Katika uchaguzi huo CHADEMA kwa mara ya kwanza ndiyo kimesimamisha wagombea karibia katika nafasi zote.

Matokeo rasmi yanaonyesha kwamba CHADEMA kwa mara ya kwanza kimeweza kupata vitongoji 2 na wajumbe wa Halmashauri za vijiji 40.Ikumbukwe kabla ya uchaguzi huu vitongoji vyote na wajumbe wote wa halmashauri za vijiji walikuwa CCM.

Pamoja na kwamba CCM iliweza kurejesha viti vya uenyekiti 8 bado wenyeviti hao wataongoza vijiji hivyo kwa mchanganyiko wa wajumbe wa CCM na CHADEMA ambapo kabla ya hapo hakukuwa na mjumbe hata mmoja wa CHADEMA.

Matokeo haya ya CHADEMA yamechangiwa na kazi kubwa iliyofanywa na Kiongozi wa kampeni Kamanda Ally Bananga.

Mbona m huwa hawasemi haya kuwa wao ndiyo ma LOSER
 
Tatizo huwa hamkubali kushindwa , lakini ni.dalil kuwa watu wameanza kujuwa kuwa cdm cyo chama cha kutetea wananchi .bali ni siraha ya kutugawa.
 
Who are you to set rules in JF?

Inaonekana hujui broader meaning ya politics?

Sio kila kitu kwenye siasa lazima kielezee namna ya kutumia raslimali, kukuza uchumi na ajira! kuna kitu kinaitwa
propaganda, na kina kubalika kwenye siasa.

Wito wangu kwako na kwa watu wavivu wa kusoma kama wewe, huwe unakaa kimya, kuliko kuongea na kuonyesha kiasi cha upumbavu ulicho nacho.
kusoma ni desturi yangu na napenda kujisomea, ila mara yingi ni vitu vya msingi, sasa ona jinsi unavyoandika inaashiria wewe ni mtu wa namna gani. kama upo kitengo cha propaganda basi uwe unaandika kwa busara si matusi. pia mimi si mwana siasa na sina chama cha siasa. ila jifunze kuweka post za maana, usiruhusu akili yako ikatumika kupitiliza.
 
Kijana leo, sidhani kama umesoma na kuzielewa vizuri kanuni na taratibu za kufanya mijadala humu JF.

Kama kungekuwa na tusi kwenye huu uzi, wapo wahariri wange shughulikia hilo, pia kuna button ya report post, hujaiona? basi kama umeiona na ukaipuuzia wakati unajua fika post ina contents za matusi, ujatimiza wajibu wako mkuu.
 
Last edited by a moderator:
dhuluma jamani,ndo maana hatutoki tulipo!!!!!!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom