Baba Hellen
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 763
- 91
kuichangia mada hii ni kujizalilisha cdm ya watu ccm ya wenyewe
kuichangia mada hii ni kujizalilisha cdm ya watu ccm ya wenyewe
Akiwa ana changia kwenye hotuba ya wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, amekaririwa akisema anakipongeza chama chake cha CHADEMA kwa mafanikio makubwa waliyo yapata kwenye chaguzi za vijiji na vitongoji huko Iramba.
My take;
Naona sasa CHADEMA wameanza kupoteza mwelekeo, tangu lini mshindani akajisifu kuukaribia ushindi badala ya kushinda?
Hawana tofauti na mtu aliye jinyea halafu akadaka uharo wake then akaanza kujisifu, kumbe ana sahau kama ametandaza harufu kali kwenye hayo mazingira.
CHADEMA hemu jifunzeni kukubali yaishe.
tena utalii wenyewe wa tatoo za kiunonihahahaha nichekaje kuna uzi upo kule celeblity et sugu yupo na mke wake wanahamasisha utalii wa ndani
Hahaha Huyo nae....Hajui kama mimi na wewe Twins