Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,218
CHAMA CHA MAGAMBA (ccm) hemu jifunzeni kukubali yaishe
siku zote tupo makini zaidi ya umakini wenyewe
CHAMA CHA MAGAMBA (ccm) hemu jifunzeni kukubali yaishe
mkuu nyie mnategemea wenje aongee nini make huo ndiyo uwezo wake umegota hapo hawezi tena kujua aongee nini.
hahahaaaa, hakuna afadhali katika kufeli. Hata kama utapoteza point moja basi utakuwa umepoteza tu. Mkuu ze marcopolo, unakumbuka mwaka juzi jinsi yanga walitwaa ubingwa wa tanzania bara kwa tofauti ya goli moja tu baada ya kulingana point na simba? Pia unakumbuka mwaka jana man city walitwaa ubingwa wa england kwa tofauti ya magoli baada ya kulingana point na man u? Lakini wote walioshindwa mwisho wa siku walikosa ubingwa kwani katika mashindano, bingwa anakuwa mmoja tu. Ndicho kilichotokea kwa hawa vidole viwili. Wamepoteza halafu wanajifariji eti wamepata 28%
Wabunge wa CHADEMA siku za hivi karibuni wamekuwa kama wamechanganyikiwa vile.
du, naona mkuu unanitafutia ban. Si mbaya pia najua mods watatenda haki. Halafu mbona nakala unatoa kwa ben saanane wakati mie sikumaanisha mtu huyo? Hivi kwenye jf hakuna mtu mtu anaitwa ben tofauti na ben saanane? Ila kwa kitendo chako cha kutoa nakala kwa ben saanane kuna kitu kinaclick kwenye kichwa changu. Pia nikifungiwa ndo hicho kinachoclick kitajidhihiri
Kujipongeza kwa chadema baada ya kukosa hata theluthi ya kura ni dalili ya kujikatia tamaa.
Chama kinachojiona kina thamani na nguvu sawa kikishindwa huona aibu. Wao wanapiga mayowe eti wameshindwa kidogo wakati hata thelithi ya kura wameshindwa kupata!!!
Hatimaye matokeo kamili ya uchaguzi wa vijiji na vitongoji uliofanyika wilayani Iramba yametangazwa.
Katika uchaguzi huo CHADEMA kwa mara ya kwanza ndiyo kimesimamisha wagombea karibia katika nafasi zote.
Matokeo rasmi yanaonyesha kwamba CHADEMA kwa mara ya kwanza kimeweza kupata vitongoji 2 na wajumbe wa Halmashauri za vijiji 40.Ikumbukwe kabla ya uchaguzi huu vitongoji vyote na wajumbe wote wa halmashauri za vijiji walikuwa CCM.
Pamoja na kwamba CCM iliweza kurejesha viti vya uenyekiti 8 bado wenyeviti hao wataongoza vijiji hivyo kwa mchanganyiko wa wajumbe wa CCM na CHADEMA ambapo kabla ya hapo hakukuwa na mjumbe hata mmoja wa CHADEMA.
Matokeo haya ya CHADEMA yamechangiwa na kazi kubwa iliyofanywa na Kiongozi wa kampeni Kamanda Ally Bananga.
angekuwa ben saanane ningeogopa lakini huyu molemo hawezi kunifanya kitu
ni kweli mkuu, wamechanganyikiwa kweli tangia gaidi mkuu alivyokamatwa na kuwekwa ndani muda wote huu, kila kiongozi na mfuasi wa chadema amechanganyikiwa na kila mtu wanamwona ni adui wao.
kwani molemo na ben saa nane kuna nini hapa mimi sielewi isije kuwa kuku na yai.
Weche ajikosha bungeni!
Ndiyo nani mtu huyo?...ni wa chama gani...mi ndiyo nalisikia hilo jina leo!...tufafanulie anashughulika na nini na aliingiaje Bungeni?
unamaanisha ben aka chemical ally mzee wa sumu mfukoni
Wabunge wa CHADEMA siku za hivi karibuni wamekuwa kama wamechanganyikiwa vile.
unamaanisha ben aka chemical ally mzee wa sumu mfukoni
ni kweli mkuu, wamechanganyikiwa kweli tangia gaidi mkuu alivyokamatwa na kuwekwa ndani muda wote huu, kila kiongozi na mfuasi wa chadema amechanganyikiwa na kila mtu wanamwona ni adui wao.