Wengine hizi ndo Luxary -Twende zetu home

Wengine hizi ndo Luxary -Twende zetu home

Kiyoya

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,775
Reaction score
994
28012013534.jpgSit yangu ni pale mbele
 
muhimu kufika. Wewe ukipanda Marcopolo,yule atapanda Yutong na mie nitapanda fuso. Lakini mwisho wa siku sote tutafika. Tofauti ni kuwa mimi nitakuwa na maumivu ya mgongo na kiuno na wewe huna.
 
Hilo basi linaenda jimboni kwa Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na Uratibu Bunge Mhe. Lukuvi.
 
Hahahaaaa kwenye kioo imeandikwa vitu laini...alafu kuna madumu mengi sana kwenye carier sijui ni ya diesel ama ulanzi?
 
Back
Top Bottom