Life starts at 45
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 976
- 932
Mkuu tunda linaluzungumzwa hapo ni Apple na sio Mbususu.Mkila tunda hakika mtadanja!
Nani ambaye hajawahi kula mbususu humu ili asife?
Kumbuka muda Mungu alipokuwa akiumba ulimwengu aliwambia kazaeni muongezeke na kuijaza nchi.
Mwanzo 1:27-28
" 27Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba. 28Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi."
Lile tunda(Apple) ulikuwa tu ni mti ambao Mungu alihitaji kuona utiifu wa mwanadamu kwake ya kuwa nimemwambia asifanye jambo hili jee atatii au laah! lakini kumbuka pia hata leo hii Mungu pia ametupatia uchaguzi wa kuchagua tumfuate yeye au yule aliewalaghai wazazi wetu.
Vivyo hivyo ni uchaguzi wetu maana yeye hataki kutuchagulia.